Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,509
Kweli nimeamini T kuna watu wajinga mimi sasa naanza kukubaliana na watu kutoka nje ya Tz wanavyo tudefine kumbe ni kweli sasa mtu kama huyu aliyeleta hii mada hapa akikutana na mtu kutoka mfano Kenya au Uganda akamwongelesha utumbo kama huu aliandika hapa kweli watabaki kushangaa na kusema Tz hakuna kitu inabidi tuje tuwatawale ili waamke kumbe ni watu wachache wasiokuwa na akili wanalidhalilisha taifa. Pambafu wewe