Ukweli kwa walimu

Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Kumbe walimu ni mabingwa sana, wamepata hesabu F, halafu wanamfundisha mtu hesabu hiyo hiyo iliyowashi da halafu mfundishwaji anapata A!!!! Marvelous!!
 
Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Bila shaka kuna ticha kakuchapia demu wako

Sio kwa hizi chuki binafsi
 
fanya uchunguzi kwanza kabla ya kuongea.je unajua wanachofundishwa waalimu vyuoni. na kwann awe engnier alafu umkute shulen akishika chaki wakat c eneo lake la kazi.be care
Engineer anaishia kushika chaki
Hana ubunifu

Tenda wanapewa wachina wao wanabaki kuwa manamba tu
 
Ualimu ni wito wapo waliofanya vizur walikuwa na sifa za kwenda engineering, doctor lkn wakaenda ualimu sio kila aliesomea ualimu ame misfit kwenye kada zingine ualimu sio dumping place walio weng wanadharau kwasababu za kiuchumi tu na dhana potofu miongoni mwetu kiukweli serikali haijatilia mkazo sana kwenye maslahi ya walimu kwasababu ya wingi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…