Ukweli kuusu uwepo wa Aliens

muhala.jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
728
600
Habari jf..nimekua nikiona maandiko mbalimbali kuhusu Hawa viumbe wanaosadikika kwa jina la aliens..Na nikiwa najiuliza je ni kweli Wana exist??? Kama wapo ni ndan au nje ya Dunia?? Najiuliza pia wanaisha kwa utaratibu Gani?? Basi nikapitia pitiaa maandiko mbalimbali ya wanasayansi especially wa NASA Na watu wa science of nature,lakini Bado sikupaka ufafanuzi ulio sahihi. Lakin zipo fact juu ya uwepo wao kwani kuna hata clip zinawaonesha walirecodiwa katika maeneo tafaut,ok tusaidiane je ni kweli Hawa wapo kwa anejua.

Naambatanisha Na video ikionesha baadhi walionekana View attachment 5 Real Aliens Caught on Camera ● Real Proof Of Aliens Exist_low.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna hio kitu,hakuna allien,hizi propaganda za alliens zimezaliwa baada ya kuambiwa kuwa tunaishi katika infinity universe ambapo kuna matrillions ya star kama jua,na zillions za dunia kama yetu, alliens wamepandikizwa kwenye akili zetu ili kupigilia misumari aidia ya kuwa tunaishi kwenye planet iliyoko ndani ya universe mfumo ambao tumejengewa tuuamini,wakati uhalisi ni kuwa kila kitu ni uongo
 
hamna hio kitu,hakuna allien,hizi propaganda za alliens zimezaliwa baada ya kuambiwa kuwa tunaishi katika infinity universe ambapo kuna matrillions ya star kama jua,na zillions za dunia kama yetu, alliens wamepandikizwa kwenye akili zetu ili kupigilia misumari aidia ya kuwa tunaishi kwenye planet iliyoko ndani ya universe mfumo ambao tumejengewa tuuamini
Kwaiyo allein ni human created living organism.
 
Kwaiyo allein ni human created living organism.

alliens,infinity universe,dunia kama planet inayoelea angani,binadamu kutokana na kima, hivi vitu vimepandikizwa na vina-exist kwenye akili zetu tu,uhalisi upo tafauti kabisa
 
mbona tunao kibao mtaani
aliens wapo mtaani
nasisitiza aliens wapo mitaani
tunao tunao tunao
aliens aliens
mtaani mtaani
 
hamna hio kitu,hakuna allien,hizi propaganda za alliens zimezaliwa baada ya kuambiwa kuwa tunaishi katika infinity universe ambapo kuna matrillions ya star kama jua,na zillions za dunia kama yetu, alliens wamepandikizwa kwenye akili zetu ili kupigilia misumari aidia ya kuwa tunaishi kwenye planet iliyoko ndani ya universe mfumo ambao tumejengewa tuuamini,wakati uhalisi ni kuwa kila kitu ni uongo
L
 
Back
Top Bottom