Ukweli kuhusu Zitto Kabwe foundation

Ukweli kuhusu Zitto Kabwe foundation

Msijaribu hata kidogo;hawa ni matapeli wa hali ya juu;walishampiga mtu nnaemfahamu;dont try
 
Kwa yeyotw anaywjua ukweli kuhusu foundation hii tafadhali.nikweli ukiweka pesa wanatoa mkopo?
 
Mod hawa matapeli wanapoleta uzi huku muwahi kupiga ban maana jf tunaiamini sana wengine wasioelewa hawa mbwa watapigwa
 
Back
Top Bottom