Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 519
- 3,195
Bond Dollar rate yake ni sawa na USD Dollar, hata katika Matumizi unaweza kuwapa Dollar ya US halafu Chenji ukapewa Dollar yaoBond dollar ni sawa na tsh ngapi za kibongo?
AFADHALI UMEMWELIMISHAUmefika Zibabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni kabla ya ya kutumia bond dollar. Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha kabisa kabla ya kuanza kutulia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .
Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,
Sent
Kuna Watu wanajua mpaka leo hii, Bado Wananchi wa Zimbabwe wanaenda kununua Mkate na Kapu limejaa pesa, so lengo langu ni kuwaambia wasiojua kwamba kule Mambo yamebadilika.Umefika Zibabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni kabla ya ya kutumia bond dollar. Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha kabisa kabla ya kuanza kutulia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .
Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,
Sent
Kwa nn na sisi Tanzania tusipunguze sifuri kwenye pesa yetu ili twende nao sawaUmefika Zibabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni kabla ya ya kutumia bond dollar. Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha kabisa kabla ya kuanza kutulia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .
Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,
Sent
Pesa yetu haijawahi kupoteza thamani Kama ya Zambia , na kwa sasa hivi pesa ya Zambia imeporomoka tena Kama unafatilia vizuriKwa nn na sisi Tanzania tusipunguze sifuri kwenye pesa yetu ili twende nao sawa
Duh Kama hivo sawa , Ila Zimbabwe Hali ilianza kubadilika walipoanza kutumia tu Rand , Hadi mafuta wakaanza ku import,Kuna Watu wanajua mpaka leo hii, Bado Wananchi wa Zimbabwe wanaenda kununua Mkate na Kapu limejaa pesa, so lengo langu ni kuwaambia wasiojua kwamba kule Mambo yamebadilika.
Walimfanya kitu superior hao wazambia like itUmefika Zimbabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni. kabla ya ya kutumia bond dollar, Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha na kuanza kutumia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .
Nakumbuka kipindi hicho uchumi wa Zimbabwe ulidorola Hadi kukawa hakuna usafiri sababu ya kukosa mafuta , nilikuwa nabeba Sana abiria Kama msaada Ila walikuwa na desturi ya kuchangia nauli, watu wanne wanasafiri umbali wa km 150tu nauli wakianza kukuhesabia unakuta noi milion hata nane, halafu ubaya ukifika chirundu boarder hakuna ambaye atakubali kubadilisha maana rate yao ilikuwa inayumba balaa
Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,
Sent
Pesa ya Kenya ipo juu, nadhan kwa East Africa , Kenya wana pesa yenye nguvu.mzee Zambia kwacha na Tanzania sh zitakuaje sawa? linganishi sh ya kenya na uganda ndi ziko kwenye kundi linalofanana
Uko sawa MkuuPesa ya Kenya ipo juu, nadhan kwa East Africa , Kenya wana pesa yenye nguvu.
Sent
Nini maana ya pesa yenye nguvu kiuchumi?Pesa ya Kenya ipo juu, nadhan kwa East Africa , Kenya wana pesa yenye nguvu.
Sent
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Walipunguza Sifuri. Kumbe ni maamuzi tuUmefika Zimbabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni. kabla ya ya kutumia bond dollar, Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha na kuanza kutumia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar.
Nakumbuka kipindi hicho uchumi wa Zimbabwe ulidorola Hadi kukawa hakuna usafiri sababu ya kukosa mafuta , nilikuwa nabeba Sana abiria Kama msaada Ila walikuwa na desturi ya kuchangia nauli, watu wanne wanasafiri umbali wa km 150tu nauli wakianza kukuhesabia unakuta noi milion hata nane, halafu ubaya ukifika chirundu boarder hakuna ambaye atakubali kubadilisha maana rate yao ilikuwa inayumba balaa
Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,
Sent
Mkuu umefika Zimbabwe mwaka gani? Hao walikuwa na pesa yao inaitwa zimbabwe dollar,,,kuanzia miaka ya 2008 kurudi chini,,na ilikuwa na nguvu kipindi hicho,,lakini baada ya uchumi wao kuporomoka hapo ndy hayo mambo ya kubeba pesa kwenye box ukienda sokoni kununuwa bidhaa yalipoanza.Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30.
Lakini kumbe ni uongo kabisa.
Mara ya kwanza kufika Harare Zimbabwe nilishangaa, Wanaishi pia kabisa, hata fedha wanatumia Bond Dollar, wako vzr tu, wanachangamoto za Kawaida kama nchi zingine, lakin sio Maskin kiivo kama tulivyoaminishwa.
Bond Dollar rate yake ni sawa na USD Dollar, hata katika Matumizi unaweza kuwapa Dollar ya US halafu Chenji ukapewa Dollar yao.
Ni sawa na Zambia, Watu wengi hawajui kama Kwacha ya Zambia ina nguvu kuliko Pesa yetu, tena ina nguvu sana sawa na ilivyo Rand ya South Africa.
Ukiwa na Buku ya Zambia, Tanzania utapewa zaidi ya Laki na Ishirini. Lakini watu hawalijui hata hili.
Mfano, Ukiwa na Million Moja ya Tanzania, Zambia utapewa Elfu Nane tu. Ingieni kwenye Exchange Rate, andika Kwacha Zambia. Utaona
Hata Zambia watakuwa wamepunguza sifuri kwenye Pesa yao ili kulunguza bugudha ya kufanya mahesabu hata hapa tz ni vyema tukafuta sifuri 2 kwenye hela yetuUmefika Zimbabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni. kabla ya ya kutumia bond dollar, Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha na kuanza kutumia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .
Nakumbuka kipindi hicho uchumi wa Zimbabwe ulidorola Hadi kukawa hakuna usafiri sababu ya kukosa mafuta , nilikuwa nabeba Sana abiria Kama msaada Ila walikuwa na desturi ya kuchangia nauli, watu wanne wanasafiri umbali wa km 150tu nauli wakianza kukuhesabia unakuta noi milion hata nane, halafu ubaya ukifika chirundu boarder hakuna ambaye atakubali kubadilisha maana rate yao ilikuwa inayumba balaa.
Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,
Sent
Tatizo ni wizara ya fedha na wakuu wa benk kuu tz ni mambumbumbu na vilaza ili nalo wanangoja magufuli awape amri ,Pesa yetu inatakiwa kufutwa sifuri mbili yaani sh100 = new sh1Kwa nn na sisi Tanzania tusipunguze sifuri kwenye pesa yetu ili twende nao sawa
Hata kwa Zambian kwacha,,ni vile vile,,wamepunguza sifuri tu..Hata Zambia watakuwa wamepunguza sifuri kwenye Pesa yao ili kulunguza bugudha ya kufanya mahesabu hata hapa tz ni vyema tukafuta sifuri 2 kwenye hela yetu
Ndiyo hivyo hapa tz ukienda dukani unakuta foleni kumbe kababu ni mahesabu ya misifuri mingi inapoteza muda hata kama unatumia calculate hadi inaharibika button kwa kubofya minamba chungu mzima mfano ingekuwa hiviHata kwa Zambian kwacha,,ni vile vile,,wamepunguza sifuri tu..