Hata wacheza sinema wa Hollywood wanalipwa pesa ndefu, WWE(World Wrestling Entertainment) ni maigizo tu. Kuwa 'Entertainment' na si 'Sport' au si 'Competition' ina maana ni burudani tu na si mashindano halisi wala si sport.Mchezo wa Mieleka ni wa Kweli.
Ila Kuna wakati wanafanya show ya just intertainment ili kutia chachu katika pambano halisi linalotarajiwa.
Mshindi wa Mkanda wa meileka analipwa pesa ndefu hadi anaponyang'anywa.
Sasa jiulizeni mzaha unafanyika vipi wakati Kuna pesa mezani ?
Kwa mfano Kuna kushindania Money in the Bank.
Yaani mshindi anawekewa kitita cha pesa mda huohuo baada ya ushindi.
Hivi unaweza kuamini umati wote ule wa Wazungu kutoa kiingilio cha kutazama Mieleka kinaingia kuangalia maigizo..!
Shindano la kugombea kupata pesa linalotokana na ghalama kubwa ya kufanya mazoezi ya Mieleka liishie kufanya maigizo..!
Hivi hujawahi kuona au kusikia watu wanalipa hela kuangalia maigizo au mazingaombwe?Mchezo wa Mieleka ni wa Kweli.
Ila Kuna wakati wanafanya show ya just intertainment ili kutia chachu katika pambano halisi linalotarajiwa.
Mshindi wa Mkanda wa meileka analipwa pesa ndefu hadi anaponyang'anywa.
Sasa jiulizeni mzaha unafanyika vipi wakati Kuna pesa mezani ?
Kwa mfano Kuna kushindania Money in the Bank.
Yaani mshindi anawekewa kitita cha pesa mda huohuo baada ya ushindi.
Hivi unaweza kuamini umati wote ule wa Wazungu kutoa kiingilio cha kutazama Mieleka kinaingia kuangalia maigizo..!
Shindano la kugombea kupata pesa linalotokana na ghalama kubwa ya kufanya mazoezi ya Mieleka liishie kufanya maigizo..!
Nitamuonesha kijana wangu hii mada, naamini itamvutia ni mpenzi mkubwa wa mieleka.
Hata wacheza sinema wa Hollywood wanalipwa pesa ndefu, WWE(World Wrestling Entertainment) ni maigizo tu. Kuwa 'Entertainment' na si 'Sport' au si 'Competition' ina maana ni burudani tu na si mashindano halisi wala si sport.Hivi hujawahi kuona au kusikia watu wanalipa hela kuangalia maigizo au mazingaombwe?
Kwenye Cinema Hall watu wanajua kabisa movie hazina uhalisia lakini wanalipia kabisa kuangalia, ni kawaida Mkuu.
Wataelewa zaidi iwapo wakiangalia hii video ( igizo haswa)Hivi 2019 bado Kuna watu wanaamini mieleka Ni Ngumi za kweli kweli?
Mielekea ni sports na ni competition mkuu ndo maana utaikuta kwenye company za kubet.Hata wacheza sinema wa Hollywood wanalipwa pesa ndefu, WWE(World Wrestling Entertainment) ni maigizo tu. Kuwa 'Entertainment' na si 'Sport' au si 'Competition' ina maana ni burudani tu na si mashindano halisi wala si sport.
Mchezo wa Mieleka ni wa Kweli.
Ila Kuna wakati wanafanya show ya just intertainment ili kutia chachu katika pambano halisi linalotarajiwa.
Mshindi wa Mkanda wa meileka analipwa pesa ndefu hadi anaponyang'anywa.
Sasa jiulizeni mzaha unafanyika vipi wakati Kuna pesa mezani ?
Kwa mfano Kuna kushindania Money in the Bank.
Yaani mshindi anawekewa kitita cha pesa mda huohuo baada ya ushindi.
Hivi unaweza kuamini umati wote ule wa Wazungu kutoa kiingilio cha kutazama Mieleka kinaingia kuangalia maigizo..!
Shindano la kugombea kupata pesa linalotokana na ghalama kubwa ya kufanya mazoezi ya Mieleka liishie kufanya maigizo..!
Hivi 2019 bado Kuna watu wanaamini mieleka Ni Ngumi za kweli kweli?
hata movie ya kanumba kuna sehemu damu zinamtokaKuna ile wanaingia katika kitu kama senyenge sijui ndio kiswahili chake kunafungwa na kufuli mkanda unawekwa juu,watu wamejaa ukumbini, zinapigwa mpaka mtu anatoka damu,kweli ni maigizo tu yale? Kuna vingine kweli maana mtu anapigwa eti haamki mpaka anafikiwa!
Michezo ya ushindani pamoja na ku entertain hata siku moja haiachi kuitwa competition kitu ambacho kwenye 'tamthilia' za WWE hakipo. I've seen the shit live back then nikiwa bado dogo, kitendo cha upupu wao kuwa rehearsed japo huwa zinatokea ajali na wanaumia kinawaondoa kabisa katika kuwa mchezo wa ushindani na kugeuka sinema(scripted) kama sinema nyingine tu.Mielekea ni sports na ni competition mkuu ndo maana utaikuta kwenye company za kubet.
Kuingiza mchezo kwenye bookmarkers sio jambo dogo wala la mzaa.
Neno entertainment lisikutie kizungumkuti hata soccer ni entertainment, sports na competition.
Wwe ni industry ile wananogesha story kuleta mvuto sometimes,km kwenye soka kupamba vtu vya Messi na cr7 ili kuongeza ushindani na hamasa,au ile taifa stars vs harambee stars ule msemo tumeoa dada zao bado kaka zao,ni chachu mbadala,kila mchezo una vi drama vyake.
Wanapiga mpunga mrefu acha,na wana tour km soka kucheza away[emoji28][emoji28], mfano mwezi huu wiki 2 zjazo watakuja tna hku, ka mji fulani nilipo,ticket bei ya mlalahoi kbsaa km mm ni km elfu 60.
This sport is extremely dangerous asee,ukipata chance ya kushuhudia live mtu km undertaker utashangaa anayofanya na umri wake na anafanya zaid ya 30 years geez'
I respect these guys..!
Mkuu hio ilikuwa Ni ajali na Wala haikuwa match ilitokea mazoezini (huko wanacopractise maigizo kabla ya kuja kuonesha kwenye tv.Mimi naamini ukweli ndo mwingi Khalid the great alimminya mtu kichwa akafa utasema sinema?
Ntajie movie 2 tu ambazo matokeo yake utayaona kwenye betting Company?Michezo ya ushindani pamoja na ku entertain hata siku moja haiachi kuitwa competition kitu ambacho kwenye 'tamthilia' za WWE hakipo. I've seen the shit live back then nikiwa bado dogo, kitendo cha upupu wao kuwa rehearsed japo huwa zinatokea ajali na wanaumia kinawaondoa kabisa katika kuwa mchezo wa ushindani na kugeuka sinema(scripted) kama sinema nyingine tu.
Think outside the box, usiwe unachotwa kirahisi hivyo. Point ni kwamba hizo circus zao huwa scripted na zinakuwa rehearsed, betting can never turn that shit into a real sport.Ntajie movie 2 tu ambazo matokeo yake utayaona kwenye betting Company?