Zumbe Kimweru
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 340
- 27
is it real, wadau nipeni ufundi.. kwasababu wadau nimehangaika xana lakini mke wangu wapi sioni mwaka wa tatu.. ushauri pls mnaojua coz mke ni mkazi wa bukoba lakini wap!!!!! msaada

It's real but wanatofautiana ndugu kama kweli unataka msaada omba watu waje kufanya utafiti wa sehemu au angle inayohusu kuleta 'big result now' ili baada ya hapo upate live show on how to go about. Upo tayari?