Ukweli kuhusu wewe na dunia

Naomba uni call
 
Utaona mtu anatajirika ghafla au cheo chapchap kumbe anatumia jicho la tatu . Atakuambia Mungu kampa, kana kwamba Mungu ana upendeleo. Njia uliyosema kweli unaweza kutumia jicho la tatu? Hata dakika moja tu nijue kuna nini?
 
Annael naomba uendelee nasomo mie nipitie comment mojamoja
 
freemason, hii jamii iko na mambo mengi ya siri , ambayo binadamu uliyejificha chini ya mwavuli wa dini hutokaa ujue, mpaka unazikwa, but ni moja ya jamii muhimu sana iwapo hutosikiliza propaganda. na hizi propaganda zina maana yake kwa binadamu wa levo ya chini, kuwapumbaza
 
Alifundishwa babu mpaka mjukuu NA vilembwekeze Wanatumia anyway sitaki kupotosha imani yakoo
 
Write your reply...Kumbe wewe ni illuminate halafu unataka watu Waite meyii we unadanganya wasiojielewa, laiti yanauotokea yangekuwa tofauti na biblia ilivosema ningekuamini ila mnayoyatetea biblia ilishatuonya, na nikwambie tu ili dunia iwe salama nivlazima tufute kitu kinaitwa utawala. tukifuta utawala watu wajitawale dunia itakuwa salama lakini kuwa na serikali moja ya dunia utatokea utumwa ambao haujawahi kutokea.
 
Mh!
 
Mojawapo ya mabandiko bora, kupata kukutana nayo.Annael, Annael Asante.
 
Mimi nilipokea ukristu kizuzu bila kujua. Sasa nimepata kamwanga fulani kanakoniruhusu kuhoji kuhusu "ufufuko" "is resurrection a historical event?". I'm doubting, let me see at the end of my life. When the soul will come out of the body, is the time to see the reality. No body knows the truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…