Ukweli kuhusu wewe na dunia

Fake promise like that given to Eve by satan.
 
We jamaa uko serious u like NWO
 
Ukweli kati yangu na dunia ni "Kumpenda Jirani yangu kama Ninavyojipenda". zaidi ya hapo ni falsafa tu.
 
Ni mfano tu ndugu unaweza ukatumia sauti yoyote. NWO is the solution of everything
Wewe jamaa ni agent wa Freemason tu, umeanzia mbaali lakini unafunguka taratibu
 
Bora rakims kuliko huyu, huyu ni shetani kabisaa
 
Aina haja ya kuangaika na huyu, em angalieni avatar yake
 
Sio kwamba anaishabikia ILA kutokana na maelezo yake nmegundua kuwa huyu jamaa ni mmoja bio ya mawakala wa shetani anachokifanya ni kutega bomu ambalo likilipuka Kuna watu tutawakosa so kuweni Makini isije ikatokea kama ya edeni tena kwako! Kwa waumini WA mungu mjue kuwa zile nyakat zmefika so kesheni!
 

Mkuu Annael

Unajua asili ya hili neno "novus ordo seclorum"?

Unajua sababu hasa za hili neno kuwa coined kwenye US$ bill?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…