iArmaniAdamson
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 944
- 289
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.
. . .
Sasa mkuu una ushahidi wowote kuhusu huu ulimwengu kumilikiwa na shetani?
Ushahid ndio ninao kutoka kwenye bible... .. .tatzo ni kwamba ww huiamin
Nipe tu verse maandiko huwa nasoma ili kujiridhisha mkuu,
Labda nikuulize we imani yako ikoje,Unaamini katika nini,kuna kitabu unachokiamini?
Mi sitaki kuamini nataka kujifunza, na nasoma vitabu ili kujifunza sio kuamini. Ndomana stori za kale sikubaliani nazo
Ndugu nadhani ulipokuwa unajaribu kuquote nina uhakika jibu ukonalo sijajua kwa nini unauliza swali tena.unaamini Mungu yupo?
Mi sitaki kuamini nataka kujifunza, na nasoma vitabu ili kujifunza sio kuamini. Ndomana stori za kale sikubaliani nazo
hahahaaaaa...
We jimena ni mtata sana, itakuwa pia huamin km Tanzania zaman ilikuwa ni Tanganyika
Does that supposed to mean kwamba hutaki kuamini kama mungu yupo ila unataka kujifunza juu ya uwepo wake.
Sio kihivyo mkuu Bennie 369 Tanzania naamini kuwa ilikuwa Tanganyika zamani maana ushahidi upo wazi kabisa, kama vile hiyo haitoshi mom & dad walikuwepo enzi hizo lol
Sasa ni story zipi za zamani ambazo huziamin tena we jimena jamani... .. .
Yani we unataka kunichokoza tu wala huna jingine
teh teh teh eerh... .. . mi sikuchokozi,
najua unaelewa ila shida yako ni kujua#
Ndugu nadhani ulipokuwa unajaribu kuquote nina uhakika jibu ukonalo sijajua kwa nini unauliza swali tena.
Na ukifuatilia hii thread itagundua kabisa unaongea na mtu wa namna gani.
Nimesema kwamba imani ndio imefanya watu duniani kuwa vipofu wasiojua jukumu lao hapa duniani.
Ningekuomba ukubali kuwa huru ndipo sasa utaelewa ninamaanisha nini.
nimejaribu kufuatilia mtiririko, ila sioni mahali uliposema kama una amini mungu yuko au la. Na ndio mana nikauliza, ili uwe muwazi.
Mimi binafsi nina amini kuna Mungu, na namwamini kupitia Yesu (mtoto wake). ILA kama mwana sayansi, huwa natumia akili zangu kujua jukumu langu. Unavyosema ni kweli, watu wengi wametumia dini kuwa watu wasio na faida duniani kwasababu kila dini.
Wewe mwenye ni mungu. Hata mimi pia na watu wengine wote.