Ukweli kuhusu wewe na dunia

Hebu nakuomba unipe formula ya kupata relativistic mass. Please!
 
1. Wewe hujawahi kuwa mwalimu wangu.
2. Kwaajili ya kukuacha na ili niendelee na issue za msingi katika thread yangu. "Pesa is nothing but karatasi na mawe yaliyochingwa". Ningependa uelewe thamani ya chakula, maji ni zaidi ya hizo karatasi.
Kwa hiyo ilikuwa concept ya kuelezea kwa lugha rahisi ili mtu aone kwa picha kamili.
Ninaomba uzisome comment maana nimeshakujibu mda mrefu sana hilo swali lako.
NWO ni revolution ya watu kujitambua na kujua dhamani yao na kuwa kitu kimoja. Nimekueleza watu hao wanajijua thamani yao na wanaamua kuacha vitu vya kuwatenga na kujiona wote ni souls. Wote ni sawa hakuna wa kubaguliwa.

Nikaeleza utofauti wa aliye nacho na asiye nacho ndio inaleta hisia kali kwa watu ndani ya unconsciousness (Mind).
Kutakapokuwa na revolution ya kubadili na kujitambua sisi sio unconsciousness ni zaidi ya hapo. Ndipo tofauti itapotea.

Sijui kama umenielewa hapa. Ninajitahidi kueleza NWO ni nini. Hiyo ya pesa ni kitu kidogo sana maana nimekuambia ni karatasi na mawe tu hayawezi kubeba thamani ya mtu. Tafadhari nakuomba uelewe.

Zaidi ya hapo ningekuomba uanze program ya kujitambua kuwa wewe ni consciousness. Kuna siri nyingi sana utagundua kwa maana huu ndio wakati wake.
 
Hebu nakuomba unipe formula ya kupata relativistic mass. Please!

1.Kwanza umekubali kwamba ulikosea?
2.Kwa mwana fizikia yeyote aliyekomaa hawezi kuuliza swali kama ulivyouliza wewe.Nikikujibu kwamba formula yake ni utaridhika?Usiulize kutafuta ushindani,uliza upate concept na uelewe.Ndio maana nikakwambia wewe bado kwenye fani hii,tuachie sisi.Una hoja nyingine
 

Kama pesa si kitu cha muhimu kwa nini iwepo kwenye NWO kwa mujibu wa maelezo yako ya nyuma?Halafu mtu haombwi kuelewa umenipata hapo?
 

Sasa hapa ndio unasema wewe ni mwalimu wangu. Hapo umechukua matokeo ambayo ni Energy ukafanya kinyume chake. Kumbuka Mass inakuwepo kwanza kabla ya energy. Ni bora ungeelewa ni nini maana yake. Mimi ninakuomba unipe formula ya relativity mass sio kinyume. Please.
 
Kama pesa si kitu cha muhimu kwa nini iwepo kwenye NWO kwa mujibu wa maelezo yako ya nyuma?Halafu mtu haombwi kuelewa umenipata hapo?
Ok. Naona sasa umekosa maswali ya msingi.
 

Yaani ni kweli umeshindwa kabisa kunilewa jinsi nilivyokujibu?Kama uwezo wako wa ubongo uko sawasawa ungegundua kitu kwenye jibu langu.Ndio maana nikakwambia wewe unataka ushindani ambao hauuwezi kabisa kwenye field hii ya fizikia.
Angalia tena jinsi nilivyokujibu ili uone kwamba mimi niko consistent:

"Kwa mwana fizikia yeyote aliyekomaa hawezi kuuliza swali kama ulivyouliza wewe.Nikikujibu kwamba formula yake ni utaridhika?"

Wewe swali lako lilikuwa hivi:
"Hebu nakuomba unipe formula ya kupata relativistic mass. Please!"


Sasa kwenye hiyo formula huwezi kupata relativistic mass?Ndio maana nimekwambia wewe si mwanafizikia.Hujui jinsi ya kuuliza maswali ya fizikia.Mwanafizikia yeyote aliyekomaa kuna vitu ataviongeza kwenye swali lako halafu ndio atauliza,je unahitaji kuvijua vitu hivyo ni vitu gani ili uongeze uelewa wako?
Je umeelewa maana ya jibu langu?Wenye akili sawasawa naomba msaidieni huyu mtu.
 
Mpambano ni mkali hapa annael anapiga, deception anapiga, haya zamu ya magoli tupeni raha jamani.
 
Propaganda mbali mbali na uvumi wa watu wanaotumikia OWO kuwa eti mtu anaye tangaza NWO ni mpinga kristo. Huu ni uongo lazima tuwe makini na hawa watu.

MEYIIII MEYIIIII inamaana gani?
 
Ngoja nkupe jibu:
Relativity mass = Mass(rest mass) X Gama (Nimekosa sign)
Gama = 1/Squareroot (1 - (V square / C square)
Then:
Relativity mass = Mass rest/(Squareroot (1 - (V square / C square))
Since mass imo ndani.

NB: Relativity mass ni mass ya body ikiwa kwenye motion ambapo kuna mambo mawili yana kuwepo.
1. Kwa mtu anaye angalia
2. Ndani ya kitu kinacho move.

Ndio maana kuna mambo mawili (Speed na Velocity) they are equivalent
Huwezi ukasema velocity haitumii distance.
 
MEYIIII MEYIIIII inamaana gani?
Sio lazima useme meyiii unaweza ukatamka neno lolote. Halina maana yoyote ni namna tu ya kutoa pumzi kutokea kwenye mapafu.
unaweza ukasema chochote. Unajua tafuta neno lolote linaloacha mdomo wazi ili pumzi iwezi kupita.
 

Ahaaa kumbeee.Nilikuwa sijui,wewe ndio leo unanifungua macho.Nashukuru sana mkuu.
 

Actually,unapotaka mtu awe na wazo huru,include yourself.Stori yako is still a conspiracy.Na evidence unazotoa bado haziwezi ku-challenge Imani za kidini ambazo,zilianza hata kabla ya Pythagoras na hao wanafalsa wengine.
Imani za kidini zipo kila kona ya dunia,sio tu ukistro, uislamu na uyaudi...kuna Buddha,Hinduism..hata kabla ya hizo kulikua na ancient religions...including African, and one thing connect all.. a believe of a supreme being (God).All these people weren't stupid...think about that.

We have all heard about pyramids,na mpaka leo hakuna mwenye fact sahihi zinazoweza kuelezea namna maisha yalivyo kipindi hicho,au kwa nini Hasa yalijengwa..fact ya kusema kwamba kuna kikundi cha watu kinahusika is just another conspiracy kwa sababu hata mimi naweza kusema yangu.
Ila kitu kimoja kinabaki kuwa kweli,pyramid of Khufu,mpaka kufikia karne ya 19,ilikua ni kitu pekee ambacho binadamu aliweza kukijenga kwa ukubwa ule na urefu ule.Kila mtu alishangazwa na ujenzi wake,mpaka leo, ni ajabu pekee Kati ya 7 makubwa zaidi (ya kale) ambayo lipo mpaka Leo!
Hii ni sababu tosha ya kufanya lionekane kama symbol of strength or achievement or anyhow.Hii si ajabu,Hasa ukizingatia almost robo Tatu ya vitu vilivyofukuliwa Misri havipo Misri,vipo marekani na nchi nyingine za Ulaya.
Sio Misri tu,sehemu nyingi ambazo zilikua na mabaki ya historia au kitu fulani yamekua yakiendeshwa na wazungu,na huwa wanachukua hivi vitu,si ajabu vingine vikawepo kwenye dola.

Sitashangaa nikisikia kesho mtu akatoa theory kuhusu uwepo wa Twiga kwenye pesa za Tanzania,after all Twiga hapatikani Tanzania tu.

Unazungumzia a group of people gone wrong,ndani ya mfumo wa Dini fulani,lakini hiyo haina maana kila aliye ndani ya huo mfumo anaenda kwenye njia hiyo.
Just see a bigger picture.
 
Mpambano ni mkali hapa annael anapiga, deception anapiga, haya zamu ya magoli tupeni raha jamani.

Deception anaangushwa chini hapaaa,na hatimaye annael anaibuka na ushindi mnono kabisa ndugu watazamaji.
 
Deception anaangushwa chini hapaaa,na hatimaye annael anaibuka na ushindi mnono kabisa ndugu watazamaji.

😁😁😁😁😁 baba, me ni fan was science issues, sasa nyie mnanichanganya ,matokeo yake miluzi mingi jibwa nkapotea njia. Tupeni elimu tunapenda kujifunza mambo tusiyoyajua. Akhsante kaka
.
 
Huyu jamaa namfaninisha na wale wanakuwa wanatapeliwa watoa pesa na vitu vya thamani bila kujijua, baada ya mda ndio uanashtuka hee kumbe nimetapeliwa. Sasa bora hao huyu hata kushtuka hajashtuka, hajielewi walimchota akili yake na kwa hali halisi ya maisha yetu kazi ikawa rahisi. Sasa kaja humu alalidhani watu vilaza humu, kwa kuwachangaya, anazungumza kitu akiulizwa anakimbilia formulara, yeah formula za kweli lakini hazihusiani na hayo ambayo maswali direct uliyokuwa ukiulizwa na ukiyakwepa. Baada ya kuulizwa meyii maana yake ukauchuna mwisho unasema eti haina maana unaweza sema chochote, yani wewe ukae uandike neno na herufi 5 from no where, mara unaweza kuumba kuumba ukiulizwa umeumba nini mpaka sasa haujibu, kuumba ya nini kwa nini usiwe na uwezo wa kurefusha maisha yako usife? Yani unatengeza new life wakati huwezi kuprolong yako, whats the point then! souls are immortals why do we die? roho zinaenda wapi? Nani ana control roho kutoka?. Deception alidhani anaongea na mtu anaelewa anachofanya alivyogundua tu huyu jamaa hajielewi amekaa pembeni.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa,hiyo kwenye nyekundu imekaa vizuri sana.Usiombe aje mkuu,ata copy website nzima na kuishusha hapa.
 

ndo nini hii..aah ngoja nnekumbuka! C itakuwa Carbon na atomiki masi zake 2 afu E itakuwaa...itakuwaa...Elementi,.no,nnesahau ngoja nikasome jibu la Anael ntakumbuka!
 

relative...ahaaa relative velosite kwene Nelikoni nikuwa naiweza kweli..afu..gama hee ndio nakumbuka nyukilia fiziks page za mwisho kwene Abott,teh mwenzenu namuelewa Anael tunesoma wote...embu..square..v square..c square...topiki gani hii...eti Mass imo ndani we anael wewe aargh!MMU iko wapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…