Kwani wewe utakua umempendea nn? Kama sio huo ubeberu wake?
This is name calling. you are warned.unanuka km beberu
unatisha km mzimu.
hahahahhaaaa!we kimey unaongea nini?upende ubeberu wa mtu?
liharufu iloo mpk pua inataka kuchomoka ....
....wewe aujakutana nao uko tosamanga sjui maua seminar miaka iyo?azania ivi ,umbwe sjui old mosh..
...au ata ukiingia kwenye mabwenya kina kaka utapata habari yake..kuna harufu nzitoooooooo ...
...kipind kileee mabibo hostel km una mpango wa kumuazima desa mkaka basi uende mapema na si jion wakat weng wanakuwa wamerud lekcha yan usiingie blok E na D na C...
UKIKUTANA NA MWENYE KIBEBERU NAKWAMBIA UTAJUTA....lakin kuna demu nilisoma nae adv ahh sjui ananuka kigunia yule?demu anatema 24 7 ata km akitoka kuoga dk iyo io kitu utakiskilizia tu bt ahh men wake alikuwa anampenda uyooo kila visitng dei uyooooooo kaja na michezo ya apa na pale ming tu sa sjui alikuwa na PUA MBOVU... ahhh...
mwee mwee.....duh....hii kali....hapo utakuwa umemmaliza kabisa.....japo wengine samtaim wananukaga kama beberu....unakoma mwenyewe halafu ndio la aziz
ngoja waamke wenyewe utaona moto wao,Tatizo lenu mnachukuliwa na wanaume washamba kwa sababu ya pesa. Tamaa itawaua nyinyi watoto wa kike.
hahahahhaaaa!
hata nilikuwa sitaki kucheka!
mmh babu weee ebu wacha urongo weye..ati harufu inachagua mwenye ela au mshamba ?Tatizo lenu mnachukuliwa na wanaume washamba kwa sababu ya pesa. Tamaa itawaua nyinyi watoto wa kike.
Mi mwanaume anayenisifia sifia huwa ananikera!!
ngoja waamke wenyewe utaona moto wao,
Kwa hiyo unataka wachukuliwe na wanume wajanja lakini kisu nehi?!
Hahahhaaa!m so lucky to gt yu
cz u smelll z so sweeeeeeeetie n cul ..infact is ma nutrional!!
habar yake bgrta banaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
watakatifu majangiri hawajaamka bado?
Ngoja nimtume rubani wangu aje, si unajua yule rubani mwingine **** aliyekuchelewesha saluni Hong Kong nimemtimua.sweeetie sasa vp?
ulinambia jana utanipeleka breaksfast hong kong na lunch paris juis ya madafu ukooo carribean sasa naona kimya mpk nw vp?
ule msafara mpk nw sjauona ukinifata getn jaman?tutachelewa ndeg au km kawa tutawaishwa na AMBULANCE?
makonga nayo yamefumuka kichwani vp utanidrop malaysia nkasuke kdg?
Hahahhaaa!
Bado wanagawana mapato ya ujangili wao wa jana.
Habari yake swty heart baaaanaaa!
Dogo, unataka kuchakachuliwa au? m-PM uoneKuna mtu humu JF ana ID inaitwa NYEGELESHA sasa sijui kama ni mwanamke
Naweza kuhamishia watu wote mwezini ili tubaki wote hapa duniani unajua.hahah hahah !!!!!!
akiamka apa atajinyonga nakwambiua...sweeetie jaman aujanijibu ya juu apo mpango wa kwenda kusuka mabutu vp?
Ngoja nimtume rubani wangu aje, si unajua yule rubani mwingine **** aliyekuchelewesha saluni Hong Kong nimemtimua.
Ile master card yangu si upo nayo wewe? mpite Jomo Kenyata Intern airport kujaza mafuta kabisa basi.
Naweza kuhamishia watu wote mwezini ili tubaki wote hapa duniani unajua.
Dogo, unataka kuchakachuliwa au? m-PM uone
Orait, kwa ombi lako hili, nawaacha wale majogoo waliyonunua kwa Xmas. baada ya hapo tunawahamisha, unajua wanaleta usumbufu sana.ahhahaa haaa!
i knw ur capability,ability,
ur stronger ma dear boy ur ok in ever tone!
wahurumie usiwahamishe kwanza mpk washerehekee xmass!!!!!!
Ni vizuri umelielewai kwa urahisi.Orait Orait nimekuelewa mkuu was about to do something but nimekumbuka ule usemi vya wakubwa waachie wakubwa