Ukweli kuhusu uwepo wa vampire

Ukweli kuhusu uwepo wa vampire

Kuna vitu kwenye muvi vilitabiriwa toka miaka ya 90 huko ila leo vipo na vinavitumika kwahyo haibakii tu kuwa imaginations..nnavyojua wazungu hawashindwi kufanya maajabu hayo
Kuna mambo wanafanya ili kuwaandaa watu kisaikolojia ili likija kutokea watu wasiogope sana, utawala washetani umeshatabiriwa hata kwenye vitabu vya dini kuwa mwisho wa dunia kuna matukio fulani yatatokea so usishangae hizi style za kufunika jicho moja zinawakilisha mpinga kristo ambaye inasemekana atakuwa na jicho moja.
 
Back
Top Bottom