Ukweli kuhusu urais CCM huu hapa

Ukweli kuhusu urais CCM huu hapa

Hapo ngoma ni Judge Augustino Ramadhani na mgombea mwenza ni Dr. ASHA-ROSE MTENGETI MIGIRO
 
Hapo kwenye nyekundu hapo ndio kwenye tatizo kubwa sana kuliko hata ulilokuwa unajaribu kulizelezea hapo juu.Tatizo la Rais wa awamu ya TANO kutoka Zanzibar kwa tiketi ya CCM kwa awamu hii ni IMPOSSIBLE kwa kuwa kitendo cha CCM kuchukua Mzanzibar ni kumwaga sumu ya Chroline Gas kwenye mfumo mzima wa MMEA unaitwa CCM na hivyo kuwapa UPINZANIA kusimamia HOJa zilizopata kuzungumzika huko siku za nyuma na kuibua UTATA wa KITAIFA.Si jambo la lelemama...dhama tulizo nazo si kuwafurahisha watu kwa vyeo..muunganao au kuundwa watu wafurahie vyeo na kuonekana ni TAIFA kwa kuwa kuna vyeo.Muungano uliundwa kwa maslahi ya Watanzania na Wanzibara raia wa kawaida watembea barabarani, wauza sokoni, wakulima, wafanyakazi na si previllges za kuwa nani apewe nini kimamlaka.

Kama ni vyeo kuna Wazanzibar wengi sana kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano,lakini hakuna Watanzania Bara kwenye Baraza la Mapinduzi Zanzibar.Mwalimu inajulikana aliiacha Serikali Mbili, Taifa moja ..Je leo ni sentenis gani itatumika kuelezea Mwalimu Nyerere alichokiacha.CCM isitake HOJa hii iludi mezani katika nyakati hizi nzito za Uchaguzi wa Rais kwa kuchagua watu watako leta Mushkeri na mikanganyiko ya kulazimisha watu wachokonoe katiba.Kuna usem upo wa funika kombe Mwana haramu apite ..si mbaya kale kautaratibu ka makamu wa Rais kutokea Zanzibar kaendelee ili kama kawaida na ipatikane team ..ya kuweza kuondoa UTANDU uiiotengenezwa huko nyuma 2010 ambao ni kama yai la kuchemsha kwenye mdomo wa Kenge.

Hoja ya Rais kutoka Zanzibar this time CCM itabdi iliweke Pending kwa USALAMA wa kuikoa ISIKUTANE na KURA za HASIRA YA UMMA.....na kwa bahari mbaya ukapasua kila kitu pasipokuwa na sababu..kisa wamewafurahisha WAKUBWA wa Zanzibar kwa kuwapa URAIS ambao ni kwa gharama ya MASLAHI ya UMMA.Kuna vitu vya kujalibu lakini NYAKATI hizi TAIFA haliitaji majaribio tena.Taifa la Tanzania linaitaji Mtu mwenye maono na mwenye uwezo wa kufanya ...Ulie MTAJA na kumpa nafasi pale juu kwa historia ya familia yake ndiye JAWABU kisha kwa kutoka hapo Sasa makosa yaliyotoke yasahihishwe.Linapokuja swala la KIKATIBA majaribio sio sehemu y mawazo au kufurahisha watu..

Ndugu yangu, unalodhani haliwezekani kwa CCM linawezekana, kama Mwenyekiti wa chama jana anajinasibu bila aibu huko India kwamba uongozi wake umefanikiwa kupambana na ufisadi, kweli?, hili wewe unaliweza? Huu ujasiri uko CCM tu.

Siri waliyonayo kwa sasa, Wazanzibar wanataka Nchi yao hivyo suluhu pekee ya CCM ni kutoa cheo hiki kama zawadi, wengi hawataamini, kwa gharama yoyote ile CCM lazima itasimamisha mgombea ambaye anatoka Zanzibar, Julai siyo mbali ndiyo maana sitaki kujibizana na watu humu, watajionea na kuamini ninachokisema hapa
 
Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza kama Taifa, tunachohitaji ni Rais au Rais mzanzibar?

Lazima tujue dira yetu nini? Badala yake tumekalia ushabiki tu, mimi wa Membe mimi wa Lowassa, hata akiupata huo urais atakujua? Tunataka Rais anayejua changamoto yetu ni nini, bila kujali anatoka wapi, dini gani, kabila gani na hiki ndicho wenzetu mataifa mengine wanachotuzidi, wanakuwa na dira na wanampima mtu kwa dira hiyo

"Kama hujui unapokwenda, huwezi kupotea" - MRISHO MPOTO
 
Mfukutuzi

Mkuu inawezekana akawa Mzanzibar. Kwa kuwa watataka kumkata Lowassa basi watasema zamu hii ni ya Wazanzibar na hivyo basi Laigwanan na wengine kutolewa kwa TKO kama alivyotolewa Mzee 6 kwenye uspika.

Hivyo naona Brgd. Gen (rtd), Judge, Mch. Augustino Ramadhani ana nafasi nzuri. Ila sasa kwa kufanya hivyo naona CCM itapata wakati mgumu sana kushinda nafasi ya Urais na hata Ubunge. Hatuko mbali na Kenya na Zimbabwe na hata Zanzibar; tunaweza kuishia kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
 
Last edited by a moderator:
Hii list yako ya utabiri naikubali, ila napingana na wewe kwenye kusimamisha mgombea wa zenji. Ingekuwa ni zile enzi za yeyote atakayesimamishwa na ccm atashinda ningekubaliana na wewe.

Hali ya kisiasa sasa hivi ni tofauti sana ndg yangu, ccm haiko tayari kurisk kiasi hicho. Lengo lao ni moja tu, kuakikisha wanaendelea kukamata dola, so ni bora wamsimamishe Makongoro ambaye umekiri wazi anabebwa na historia ili wakamate dola kiulaini, halafu mambo mengine yanafuata baadae

Otherwise, hakuna mzanzibari wa kuwashinda Ukawa
 
Uchambuzi Wangu:

Nawashangaa sana baadhi ya Watanzania, wamekalia Lowassa Lowassa, wakati yeye na wenzake wamechukua tu tenda (consultancy) ya kukitangaza Chama (kutumia kivuli cha kutangaza nia na kutafuta wadhamini kuanza kampeni mapema kwa ajili ya chama).

Wengi wao wameahidiwa vyeo Serikali ijayo, na kwa wafanyabiashara kama Lowassa, wameahidiwa misamaha ya kodi na uhuru wa biashara zao. Kusoma shida, hata picha? Amka Mtanzania, jifunze kusoma katikati ya mistari!

Lowassa anafeli katika vigezo vingi mno; ikiwemo afya, makundi, kashfa za ufisadi, na vinginevyo vingi, hata yeye anajua. Anyway, sina lengo la kufika huko, ila majina ya wagombea halisi na wanayoisumbua CCM ni haya. Hesabu zote zinaangukia kwa hawa na sababu nimekuwekea;-

1. Charles Makongoro Nyerere (Historia inambeba)
2. Mohamed Gharib Bilal (Mzanzibari)
3. Mizengo Kayanza Pinda (Waziri Mkuu, ni kawaida kwa mawaziri wakuu)
4. Dr Asharose Migiro (Mwanamke)
5. Jaji Augustino Ramadhani (Mzanzibari/ Ukristo-Uislam)
6. Prof. Mark Mwandosya (Uzoefu)
7. Dr. Salim Ahmed Salim [kama atachukua fomu] - (Hana kashfa/ uzoefu/ Mzanzibari)

Watu watauliza mbona wengine maarufu na hujawataja? Membe ameshaonyesha hana uwezo mkubwa wa ushawishi na pia anakabiliwa na tatizo la Makundi. Magufuli hawawezi kumteua, ni mchapakazi na yuko serious na kazi hivyo atawaharibia mambo yao. Hawawezi kumwacha kwenye kinyang'anyiro, wamemwandalia nafasi nyingine kubwa ila si urais.

Ila pamoja na hayo yote, mgombea wa CCM mwaka huu ni lazima atakuwa Mzanzibari maana hivi karibuni marais kutoka bara wamefululiza sana, na CCM wanataka kuwabembeleza Wazanzibar wabaki kwenye Muungano.

Na huu ndio utabiri wangu. Nimemaliza. Tujadili nchi tuachane na vyama, na kama huamini hili, subiri Julai 10, top 5 ya kupigiwa kura inatoka kwenye list hii, angalia nyuma ya pazia Mtanzania.

By Mr. ZigZag (Mzalendo halisi)

Somehow I Concur Wth You.
 
Agustino Ramadhani - Raisi
Asha Rose - Makamu wa Raisi
Agustine Mahiga - Waziri mkuu

wengine tupa chini..... (just joking)

Kawakabidhi Wana Familia Wako Lakini Siyo Sisi Watanzania Wenye AKILI Zetu Timamu Na Zilizotukuka.
 
Magufuli ndo MTU pekee ambaye CCM itashinda Kiurais sana na wa kuwasaidia wabunge wa CCM kurudi bungeni vinginevyo watashinda urais lkn bunge litakuwa la wapinzani na je itawasaidia CCM kuongoza nchi?

Una mawazo kama yangu yaan mwaka huu wabunge wapinzani watakuw wengi sana sasa je huo rais Wa ccm ataongozaje nchi???????
 
Uchambuzi Wangu:

Nawashangaa sana baadhi ya Watanzania, wamekalia Lowassa Lowassa, wakati yeye na wenzake wamechukua tu tenda (consultancy) ya kukitangaza Chama (kutumia kivuli cha kutangaza nia na kutafuta wadhamini kuanza kampeni mapema kwa ajili ya chama).

Wengi wao wameahidiwa vyeo Serikali ijayo, na kwa wafanyabiashara kama Lowassa, wameahidiwa misamaha ya kodi na uhuru wa biashara zao. Kusoma shida, hata picha? Amka Mtanzania, jifunze kusoma katikati ya mistari!

Lowassa anafeli katika vigezo vingi mno; ikiwemo afya, makundi, kashfa za ufisadi, na vinginevyo vingi, hata yeye anajua. Anyway, sina lengo la kufika huko, ila majina ya wagombea halisi na wanayoisumbua CCM ni haya. Hesabu zote zinaangukia kwa hawa na sababu nimekuwekea;-

1. Charles Makongoro Nyerere (Historia inambeba)
2. Mohamed Gharib Bilal (Mzanzibari)
3. Mizengo Kayanza Pinda (Waziri Mkuu, ni kawaida kwa mawaziri wakuu)
4. Dr Asharose Migiro (Mwanamke)
5. Jaji Augustino Ramadhani (Mzanzibari/ Ukristo-Uislam)
6. Prof. Mark Mwandosya (Uzoefu)
7. Dr. Salim Ahmed Salim [kama atachukua fomu] - (Hana kashfa/ uzoefu/ Mzanzibari)

Watu watauliza mbona wengine maarufu na hujawataja? Membe ameshaonyesha hana uwezo mkubwa wa ushawishi na pia anakabiliwa na tatizo la Makundi. Magufuli hawawezi kumteua, ni mchapakazi na yuko serious na kazi hivyo atawaharibia mambo yao. Hawawezi kumwacha kwenye kinyang'anyiro, wamemwandalia nafasi nyingine kubwa ila si urais.

Ila pamoja na hayo yote, mgombea wa CCM mwaka huu ni lazima atakuwa Mzanzibari maana hivi karibuni marais kutoka bara wamefululiza sana, na CCM wanataka kuwabembeleza Wazanzibar wabaki kwenye Muungano.

Na huu ndio utabiri wangu. Nimemaliza. Tujadili nchi tuachane na vyama, na kama huamini hili, subiri Julai 10, top 5 ya kupigiwa kura inatoka kwenye list hii, angalia nyuma ya pazia Mtanzania.

By Mr. ZigZag (Mzalendo halisi)

Ulianza hovyo ukamaliza vizuri.sasa kama tutapata rais kati ya hao kuna tofauti gan na ile ya kumwacha lowasa kama makubaliano ni hayo?unapofanya analysis usianze kwa propaganda.tunahitaji rais wa kupambana na wahujumu uchumi na mafisadi na si wa kulinda mafisadi kama unavyobashiri.
 
My observation nakubaliana na mwana Jf mmoja alishawahi kuelezea na mm nakubaluana naye...kwamba top five inaelekea kuwa hivu
1-Mohamed Bilal(Makam rais wote huwa wanaingizwa top five kwa heshima ya cheo chake)
2-M.K.Pinda(mawazir wakuu mara nying hufika top five kwa heshima ya chei chake eg. Msuya, sumaye)
3- Asharose Migiro( 50/50 kama sera yao na kushadidia Katiba pendekezwa)
5- Unknown( may be- A.Ramadhan...A. Mahiga...M.Mwandosya J.P. Magufuli)
Naona hiyo inaweza kuwa ni tiba ya makundi kati ya Lowasa na Membe na akina sita
Kuhusu makongoro Nyerere hana historia yoyote ndan ys CCM..Baba ni baba na kila mtu roho yake...isitoshe alishajichafua kwa kuhama chama na kashfa alizotoa enz hixo...kuteuliwa kuwa mbunge afrika mashariki ilikuwa kuifariji familia tu basda ya kuonekana imetengwa lkn wala siyo presidential material kwa hali yoyote...alomshaur alimpotosha tu hafiki kokotr.

Umejadili vizuri sana na nakubaliana na mtazamo wako kabisa.
 
Hapo kwenye nyekundu hapo ndio kwenye tatizo kubwa sana kuliko hata ulilokuwa unajaribu kulizelezea hapo juu.Tatizo la Rais wa awamu ya TANO kutoka Zanzibar kwa tiketi ya CCM kwa awamu hii ni IMPOSSIBLE kwa kuwa kitendo cha CCM kuchukua Mzanzibar ni kumwaga sumu ya Chroline Gas kwenye mfumo mzima wa MMEA unaitwa CCM na hivyo kuwapa UPINZANIA kusimamia HOJa zilizopata kuzungumzika huko siku za nyuma na kuibua UTATA wa KITAIFA.Si jambo la lelemama...dhama tulizo nazo si kuwafurahisha watu kwa vyeo..muunganao au kuundwa watu wafurahie vyeo na kuonekana ni TAIFA kwa kuwa kuna vyeo.Muungano uliundwa kwa maslahi ya Watanzania na Wanzibara raia wa kawaida watembea barabarani, wauza sokoni, wakulima, wafanyakazi na si previllges za kuwa nani apewe nini kimamlaka.

Kama ni vyeo kuna Wazanzibar wengi sana kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano,lakini hakuna Watanzania Bara kwenye Baraza la Mapinduzi Zanzibar.Mwalimu inajulikana aliiacha Serikali Mbili, Taifa moja ..Je leo ni sentenis gani itatumika kuelezea Mwalimu Nyerere alichokiacha.CCM isitake HOJa hii iludi mezani katika nyakati hizi nzito za Uchaguzi wa Rais kwa kuchagua watu watako leta Mushkeri na mikanganyiko ya kulazimisha watu wachokonoe katiba.Kuna usem upo wa funika kombe Mwana haramu apite ..si mbaya kale kautaratibu ka makamu wa Rais kutokea Zanzibar kaendelee ili kama kawaida na ipatikane team ..ya kuweza kuondoa UTANDU uiiotengenezwa huko nyuma 2010 ambao ni kama yai la kuchemsha kwenye mdomo wa Kenge.

Hoja ya Rais kutoka Zanzibar this time CCM itabdi iliweke Pending kwa USALAMA wa kuikoa ISIKUTANE na KURA za HASIRA YA UMMA.....na kwa bahari mbaya ukapasua kila kitu pasipokuwa na sababu..kisa wamewafurahisha WAKUBWA wa Zanzibar kwa kuwapa URAIS ambao ni kwa gharama ya MASLAHI ya UMMA.Kuna vitu vya kujalibu lakini NYAKATI hizi TAIFA haliitaji majaribio tena.Taifa la Tanzania linaitaji Mtu mwenye maono na mwenye uwezo wa kufanya ...Ulie MTAJA na kumpa nafasi pale juu kwa historia ya familia yake ndiye JAWABU kisha kwa kutoka hapo Sasa makosa yaliyotoke yasahihishwe.Linapokuja swala la KIKATIBA majaribio sio sehemu y mawazo au kufurahisha watu..
Zanzibar ina watu milion 1.5 tu na wengi wamehamia huku Tanganyika ambayo Ina watu milion 44 . Sasa iweje Nchi yenye watu kiduchu igawane sawa kwa sawa na Nchi kubwa ? Hicho kisiwa kinakula na kuishi kwa mapato ya Hazina ya Tanganyika wao wana Rais wao, baraza Lao la wakilishi wana vikosi vyao, bendera na wimbo wao wa Taifa , wana Utitiri wa wafanyakazi ktk sehemu nd
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom