Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

yaani nimecheka balaaa.... hahahahahahaa
 

inasemekana umeziweka nyiiiiingi...kumbe uthibitisho huna
 
Kuna mti flani unaitwa mmavmav sidhani kama ulikuwepo hapo bustanini vinginevyo malkia asingepumzika humo, maana harufu yake hata choo cha soko pana afadhali.
hahahahahahahah kuna watu mnanichekesha mpka machozi yan, ko wife wa mfalme angedata au sio
 
Hahahahahahaaaa hyo salamu aisee imeniacha hoi kbsa....
 
Mi ninacho juwa kuwa unapozungumza kuhusu dunia kipindi icho ni ile sehemu ya mashariki ya kati nchi ya Israeli na nchi za kiarabu na maeneo yaliyozunguka nchi hizo ndo dunia ya zamani kwa hiyo Babel ndo ilikuwa inatawara nchi hizo.
 
Africa haikuwa inafahamika. Walitawala huko huko middle east. Kumbuka early civilizations zilianzia huko
 
Mimi naamini kuwa Neno Dunia Yote katika Biblia hasa wakati wa falme halikumaanisha km unavyofikiria sasa hivi... Lilikuwa na maana Utawala tu ulipoishia... Tena wakishajiona hakuna Taifa linaloweza kuwafikia kinguvu
 
duh..hiyo kali sana
 
kuna mnara ulianguka miaka y zaman sana (BC)kwenye kjj kimoja bukoba panaitwa (ntoma) Bdo unfanyiw utafit kam n w babli
Hahhahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
 

fanya tafiti. soma kwanza biblia kitabu cha mwanzo sura ya 10 story ya NUHU. kuna utukuu wa NUHU kwa ujukuu wa Kush ambae ni mtoto wa Kham. Utukuu ni Nimrod ndio mwanzilishi wa ufalme na ndio alijenga babel. Ni mweusi kama wewe. kumbuka dunia kipindi hicho kilikuwa na weusi pekee.
 
Hao Babylonians,the land between the two rivers,Euphrates na Tigris,actually ruins zake zipo mpaka leo karibu kabisa na Baghdad. Hao ndio waliwateka Wayahudi. Hao ndio waliowafundisha Wayahudi banking na usury. These people invented usury,this usury which is the bane of human life.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…