Great Thinker karibu wote memshambulia mleta mada. Yaani hakuna Hata moja aliyejaribu kuangalia upande mwingine wa mlalamikaji. Ni nani asiyejua kwamba University zetu nyingi zipo underfunded?Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
Me ni mwana udsm na naongea hali halisi
Nipo fuculty ofHumanities mbona
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
Siku hizi kuingia udsm ni kama kuingia shule ya awali siku hizi kuna wanachuo udsm hawajui kusoma na kuandika.
Siku hizi kuingia udsm ni kama kuingia shule ya awali siku hizi kuna wanachuo udsm hawajui kusoma na kuandika.
Unajua hamtaki kukubali kua udsm hakuna kitu ni jina tu
Tatizo sisemi mitihani migumu suala ni kwanini mnadai ni bora na rate ya kufeli inapanda?
Nilitoa GPA 4.0 single seat bila C sasa nafanya CPA acha kulalamika kaka soma just GOAL SETTING and DISCIPLINE baaasiIkiwa wewe ni mwanachuo wa mwaka wa tatu na unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, kweli kazi ipo.
Hata "supplementary" imekushinda kuandika, majanga!
Hii nchi tuna safari ndefu ajabu.