annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
Tiba suala ni kua kwanini mnadai ni bora afu supu ni nyingi?huo ubora ukwapi si aheri vya kata hawasapui wako poa
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
Nina video moja ya demu wa Mabibo anatafuta Bwana amuoe ILA Sijui namna ya kuiweka hapa. Iko kwa WhatsApp
Tangu mwanzo tulijua tu lengo lako lilikuwa kuponda basi....Suala ni kua mnajisifia sa ubora ukwapi na sio nisomeje,mnajigamba mtaani lakini hamna lolote mnanuka supu
Tiba suala ni kua kwanini mnadai ni bora afu supu ni nyingi?huo ubora ukwapi si aheri vya kata hawasapui wako poa
Vijana wa digitali, huku FB, HUKU WhatsApp, pale twiter pembeni Badooo, Sjui nini na nini...dah..kugusa gusa ka smartphone screen kako kutwa nzima, Unadhani kutakua na matokeo mazuri? Watoto wa wakulima tulimaza miaka ya nyuma. Ila poleni na badilikeni.
Ikiwa wewe ni mwanachuo wa mwaka wa tatu na unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, kweli kazi ipo.
Hata "supplementary" imekushinda kuandika, majanga!
Hii nchi tuna safari ndefu ajabu.
Tuliopita UDSM tunakushangaa!unadhan bila sup watu wangekua wanaingia lecture?wangekua wanasoma?maisha sio lelemama acha kufikir kana kwamba huna ubongo kama vp jaribu ujinga kidogo!