eric emanuel Member Joined Jan 9, 2017 Posts 11 Reaction score 2 Aug 13, 2020 #1 Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,559 Aug 13, 2020 #2 Wahenga walisema hii misemo 1. Vya bure aghali . 2. Ukitaka kula sharti uliwe Chukua hatua, Tafakari 😉😉😉
Wahenga walisema hii misemo 1. Vya bure aghali . 2. Ukitaka kula sharti uliwe Chukua hatua, Tafakari 😉😉😉