Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,462
Mkuu naomba sorce ya hii habari..Dunia ni mviringo.
Sasa hivi kuna overpopulation in the northern hemisphere.
Watu wamezidi kule and the world is about to tilt on its axis.
And when it tilts, you will believe it is a sphere.
Kuna muda huwa siamini kama mtu ambaye ana access ya internet anaweza kuwa na akili za kijima za kudai eti dunia iko flat, watu kama hawa huwa hawawezi kujibu hayo maswali yako!!Dunia ni flat halafu ipo stationary. Jua linaizunguka dunia. Linaizungukaje sasa hapo? Kama wanariadha wanavyozunguka uwanja? Huu usiku na mchana unapatikanaje sasa?
Kama una saa ya mshale chukuloa point ya mshale wa saa ndio jua. Unaona linavyozunguka!? Kuwa flat si kuwa si duara ila ni duara lisilo la mvirinho kama vile disc
Kama hautaki kuelewa unadhani mi nitakulazimisha? Kwa mfno huo huo wa saa, kama wewe upo ktk kidot cha saa namba tatu ktk mpangilio wa namba za saa ya mshale, halafu mshale wa saa uwe ktk kidot namba 12 kama ndio unawaka taa je itamulika full eneo ulilopo sawa sawa na ukifika hapo au ukiwa ktk kidot namba sita?Kama ndo linazunguka hivyo basi tusingekuwa tunaliona asubuhi likiibuka kutoka mashariki mchana linakuwa katikati halafu jioni linazama magharibi,
Lakini pia kwa mfano wako huo, north pole na soth pole zisingekuwa na baridi
Sasa mkuu kama jua ndo lazunguka namna hiyo hapo katikati ya huo mduara kuna nini, vip kuhusu solar system na sayari zingine?Kama hautaki kuelewa unadhani mi nitakulazimisha? Kwa mfno huo huo wa saa, kama wewe upo ktk kidot cha saa namba tatu ktk mpangilio wa namba za saa ya mshale, halafu mshale wa saa uwe ktk kidot namba 12 kama ndio unawaka taa je itamulika full eneo ulilopo sawa sawa na ukifika hapo au ukiwa ktk kidot namba sita?
Ukiona linachomoza liko mbali na eneo ulilopo wewe ambapo likifika inakua jua la utosi na likikuacha linaendele mbele huku wewe ukiliona linazma.
Kwa hiyo itabidi dunia tuweke fence maana watoto wanaokaa karibu na mwisho wanaweza kutumbukia na magari yawe yanaenda kwa tahadhari maana yanaweza kutumbukia chini.
Kama una saa ya mshale chukuloa point ya mshale wa saa ndio jua. Unaona linavyozunguka!? Kuwa flat si kuwa si duara ila ni duara lisilo la mvirinho kama vile disc
We ndugu yangu lala tuHe... Hii mada imerudi tena.. Haya wakowapi wazee wa flat earth....wenyewe wanakwambia hamna kitu kilichowahi kutumwa angani na hizo satellites ni uongo... Tabu sana..
Nikajua nawe unashabikia flatness of the earthWe ndugu yangu lala tu
Pole sanaTumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.
Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.
#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.
#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.
#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.
#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.
Sababu za Uongo:
#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.
#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.
#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.
Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
Unataka kututoa kwenye mada inayohusu watoto uliowatelekeza, ona haraka zako umeshindwa hata kuweka picha.Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.
Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.
#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.
#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.
#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.
#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.
Sababu za Uongo:
#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.
#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.
#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.
Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
Mtoa mada kesho nina maswali ya kukuuliza..Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.