Ukweli kuhusu shape ya Dunia

Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka jua?
Hakuna kitabu cha imani hasa hzi mbili Christian na Islamic ukakosa la kukosoa,so usiamini biblia pekee ndo ilikosewa.mzungu na mwarabu walishatuchanganya,kubali kataa ndivyo ilivyo
 
Unatumia hisia ku-argue au?? Kama umefanya utafiti mwenyewe tuambie ulifanyaje fanyaje? Je ulienda huko pande zingine??
Kama una source ambazo ni credible tuwekee hapa, otherwise shut the hell up!!
 
baada kudanganywa sana sasa umeamua kujidanfanya mwenyewe, sio mbaya
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka jua?
Dah, mfano Mussa aliyengeneza njia katikati ya bahari ma watu wanameza hii.
 
Poor reasons poor evidences, poor you. Tafuta vitu vya ku criticize Vya level flani ya chini kabisa.

Wenzako wanakuambia dunia ni duara kwasababu wameshasimama hadi kwenye mwezi Na kuiona dunia kama wewe unavyoona mwezi..
 

Mkuu sayansi ya NASA ina uongo mwingi sana, mdau huyo aliyetoa mada hapo juu sio mawazo yake hizi ni tafiti Za independent scientists wenye mawazo ya kuhoji theories Za NASA, kuhusu dunia kuwa flat hii ni fact, isipokuwa mamlaka zinazo control huu ulimwengu haziwezi kubali haya, kwasababu ukweli ukijulikana ndo mwisho wa hii dunia. Mungu yupo na aliahidi kupitia watumishi wake hautakuja ule mwisho hadi ile kweli inayofichwa ijulikane.
 
Hilo swali la kwanza jibu lake ni rahisi sana! Wanawezaje kumuona mtoto kwa ultra sound washindwe hilo? Au unahitaji kuvunja sumaku ndani ili uione nguvu yake ya uvutano(usumaku wenyewe)
Jibu lako zuri lakini limekaa kisiasa sana.

Leta scientific explanations zenye ushawishi mkuu
 
Hiya najiuliza sana maswali kama haya??

Kama dunia ni duara sisi tuko ndani au nje ya hilo duara??
 
Pole sana. Tatizo lako sio la kutoelewa. Umepanga ubishi
 
Hiya najiuliza sana maswali kama haya??

Kama dunia ni duara sisi tuko ndani au nje ya hilo duara??
Watu wengi wanashindwa kujua dunia ni nini.. Wengi wanadhani dunia ni ardhi peke yake.. Dunia ni ardhi pamoja na atmosphere yake.. Sisi tunaishi duniani ila ila tupo kwenye uso wa ardhi ndani ya atmosphere.. Kuna viumbe vinaishi duniani ila chini ya uso wa dunia(chini ya ardhi)
 
Kama kweli serikali imekataza bangi, mbona huyu komredi hakamatwi kwa kosa la kuitumia?
 
We ndo huelewi, wapi biblia inasema nyoka aliongea? Biblia kitabu ambacho kina ujumbe wa kuaminiwa kuliko kitabu kingine vya aina hiyo.. Kuna nyoka wa aina nyingi...nikikuita wewe nyoka unaelewa hivyo hivyo na akili yako ndogo.
hakuna kitabu kinachoitwa biblia ,biblia nambie,wap ktk hiko hiko kitabu kuna andiko linalosema hiko kitabu kinaitwa biblian.kwq ushahid
 
Sindano ya mkono ukiiweka umbali wa zaidi ya 100 mita unaweza kuiona kwa macho ya kawaida? Ukiisha pata jibu, jijibu swali lako..
Mkuu, jua linapozama magharibi na kuchomoza mashariki linapita wapi kwenye flat earth?
 
Kupinga tu bila uthibitisho wa hoja haisadii, thibitisha kuwa dunia iko flat. Kama gravitational force ni myth, how do you explain free fall?
 
Mkuu, jua linapozama magharibi na kuchomoza mashariki linapita wapi kwenye flat earth?
Kama una saa ya mshale chukuloa point ya mshale wa saa ndio jua. Unaona linavyozunguka!? Kuwa flat si kuwa si duara ila ni duara lisilo la mvirinho kama vile disc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…