Ukweli kuhusu sarafu ya DIME iliyokuwa inatumika Marekani

Lucky Star

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,844
3,129
Poleni na majukumu wadau na wanajukwaa.

Katika harakati za maisha, siku moja nimekutana na sarafu za DIME ambazo zilikuwa zinatumika katika Taifa la United States. Ni sarafu isiyokuwa na thamani kubwa hata mbele ya pesa zetu za Shillings.

Kilichonifanya nije kwenu ni mambo yafuatayo.
1. Maneno yaliyopo kwenye sarafu hiyo ambayo ni:-

E-PLURIBUS UNUM: Maneno haya ni ya Kilatini yenye maana kuwa 'Out of many,One". Au pia "One from many". Maneno haya yanatumia kama Motto for US Seal and Currency.

IN GOD WE TRUST. Kama tujuavyo kuwa maneno haya hutumika pia kama Motto kwa Taifa la US.

2.Maswali.
Sarafu hizi bado zinatumika kubadilishana au kununua vitu? Na kama hazitumiki, zinafaida gani kwa watu wanaozimiliki hadi sasa?

Sarafu hizi hazihusishwi na imani yoyote kama ilivyo kwa Rupia?

Kuna mtu aliwahi kusema kuwa ukiziweka karibu na pesa zako za kawaida utajikuta mambo yako ya pesa hayaendi vema.

Swali la mwisho.......Je, Taifa la Marekani motto wake ni upi hasa?


one-dime-coin-reverse-old-cents-round-copper-nickel-clad-united-states-america-usa-ahead-mott...jpeg
1_Dime_(United_States).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom