SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,079
- 7,976
Mchakato wa kuachana na matumizi ya US Dola(Dedollarization campaign) kama sarafu ya kimataifa katika biashara so far unaenda vizuri.
Mfano, mataifa hasimu wa nchi za magharibi kama vile Iran na Urusi wameshasaini makubaliano rasmi ya kuacha kutumia US Dola pale nchi hizo zitapofanya biashara.
Another example ni taifa la India ambalo nalo hivi karibuni limeshachukua hatua zinazofanana na hizo ambapo kwa mara ya kwanza imenunua nishati ya mafuta kutoka UAE kwa kutumia safaru yake ya rupee.
Hii ni habari mbaya kwa pro West because anguko la Dola li karibu.
View attachment 2855286