Umezaliwa kati ya tarehe hizi 1 10 &19?Nipo kundi la kwanza!
Reson
Kutoka Na kuelezea sifa zao najiona nipo kundi la kwanza
1-Sipend sehemu za WATU napenda kuwa mpweke,huwa nikiwa alone Huwa nawaza mambo mengi Sanaa ambayo majibu najikuta napata ki urahisi
2-wakat nipo nasoma nilikuwa nafikiria vitu vingi Na Ku developer some law ajabu nilipoingia secondary nilizikuta kama nilivyokuwa nawaza Na hata nilipofika advance niliziona xngine
Mf: Archimedes princle
Newton's law
Principle of relatively(hiki kitu walifanya nahisi kunikopia)
Black hole etc
3-kutokana Na maisha kuwa magumu darasani nilikuwa siingii
Nakumbuka nilikuwa namaliza miezi m3 sijaenda shule
Kubwa zaidi siku ya kufanya mtihan wa darasa la 7 sikuwa nafahamu nakumbuka nilikuwa najiandaa kwenda kusaka (hapo nilifatwa Na mwanafunz asubuh)
4-secondary nilikuwa nafaulu masomo ma3 tu
Physics chemistry Na mathematics
5-nilikuwa sisomi Wala siandiki notes mostly nilikuwa nikiona ty topics nakuwa nishaielwea!
6-Nilivyokuwa mdogo niliwahi kupelekwa sehemu mbali Sanaa Na allies now napata picha ni wapi
7-ninao uwezo wa kuandika kwa wakat mmoja kwa mikon yangu miwili
YAAN wakushoto naweza kuwa nchora wakat wa kulia Na andika
NB:Hata Africa wapo WATU wenye akili tatz sera mbovu za elimu Na matabaka ndiyo yanatupoteza
Nitaendelea
Mwanangu wa kwanza wa kiume alizaliwa 10 October 2016 anatumia mikono yote,dada yake alizalia 20 January 2013 anatumia mikono yote kuna ka ukweli bila shakaUmezaliwa kati ya tarehe hizi 1 10 &19?
Ww ni Instrovert kama mimi..
Sijui utakua Architect au...
Watu wanakushangaa inakuwaje kauzi katamu kama haka kawe nonsense? What makes you think its the nonsense?[emoji1] nonsense
Da vince namkubali sana na nilikuwaga na movie yake moja inaitwa Da Vinci code ni noma sana sema huwa alinivunja moyo baada ya kusikia anatoa mini kabaang.Ila bandiko lako limepwaya kwa kutompa credit L. Da'Vinci .
Huyo Michaelengelo mfungulie uzi
Kama kubwa la maadui Ruge alikula za uso ije kuwa mskuma wa kutoka Ikungu la mbeshi? AhahahaHumble Africaj ww ni boya na ndezi aisee..
How come unatapeliwa na dogo? Kwetu ungekula makofi sana.
Joke.
BTW bandiko lako limeniongezea kitu ngoja nianze kufatilia
nimependa hii"" aya ya mwisho "" asanteOfcoz npo group la pili intelligent, am competent enough in my field, very soon the whole world will know what am talking abt
Upande wa Norma people ofcoz mpo weng sana mto Uzi, na msipo angalia mtaendelea kuwa weng na kuwa mabek tatu rasmi wa dunia ila genius wameisha ata kama wakija sio tena level za kina sir Isaac Newton, Faraday, Galileo Galilei
Mtu unaweza kuwa intelligent kama ukiamua ila kwa sababu wabongo n wavivu wa kufikiria na hawepend kujsomea shda ndio inaanzia apo,
[emoji23] [emoji23] hapana Da'Vinci!! Kila mara huwa nasahau kuiandaa uzuri lakini nilishaandaa nondo zake za kutosha tu soon navurumusha hapa jukwaani ndugu tuelimike.Humble African nawewe ushajifunza utapeli ?
Hivi unakumbuks hiki ulichoandika?
Michaelangelo huyu ni balaa yeye hata simzungumzii maana anahitaji Uzi wake kabisa ili tumtendee haki. Tukipata muda tutamjadili.
Tusimulie kuhusu michalonge sijui naniSimu janja janja mwenyewe.. Ahahaha!
Relax Mimi normal mwenzako mzawa. Wale wahanga wale wa kupigwa za uso na simu janja? Au maandishi yamekaribia kunoga kama ya simu janja?
Nikija na project na Mimi after a while kimbia sana unless nitakuchakata...maana nishachakatwa tayari! Ahahaha.
Ahahaha!! Nimecheka sana..eti michalonge..yaani ilikuwa kidogo tu useme michongoma.[emoji23] [emoji23]Tusimulie kuhusu michalonge sijui nani