Kama Employee anaweze kukuoffer package ya zaidi ya Million 4, akitoa hyo verification fee kwenye hyo package ana hasara gani. walinitumia e-mail nikaisomaaaa nikaona haiwezekani. Sijawahi kuona kitu kama hicho katika maisha yangu. Isitoshe, Hyo Reborn International haina ata website, sasa kama NGO haina ata website unategemea nini. Kama kweli ni matapeli, wametumia jina la Kanisa iliyopo America... Wametumia akili, na niwavumilivu sana, kwenye hyo tangazo waliweka clause kwamba kwenye maswala ya verification ya vyeti gharama zitakuwa juu ya mwombaji, of which ni hyo Tsh 51,500. Post zilikuwa mia... hiyo Tsh 51,500 mara 100 ata pata 5.15m. Hyo lak na nusu ni ada yakutoa hyo 5m... ila hii e-mail wanaweza wakawamewatumia waombajii wote... Kama Tapeli kweli, atapata hela nyingi. Chunguza kwanza, nenda ukachungulie kama hyo ofisi kama bado una imani hzo kazi zipo. Mimi binafsi, I doubt kabisaa