kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
Juma Shaban Kayilla hata aibu hana..ndo jamaa nayepokea mpunga hahahahaha kama ndg yako mwambie wale unaodhani wajinga wanakwambia wewe ndio mjinga zaidi yao
NI kweli sasa sijui vyombo vyetu vya usalama vinakuwa wapi? huu ni wizi wa nje njee. na watu wengi walivyo desparete na kazi hizi elfu 50. 50 watazikusanya sanaLabda ni kizungu nisichokielewa hapo. Inakuwaje nitume kwa mpesa au tigo pesa 51,500/= kwa ajili ya certification ya vyeti vyangu, halafu tena nicertify kwa lawyer mimi mwenyewe?
NI kweli jamaa mpaka wanatangaza kazi.. wanafikia hatua ya kuibia watu bado police kimya. habari za kiitelejensia hazijawafikia mapaka sasa hvi..Wezi wezi wezi wezi wezi dah naona polic kimya
Harafu na ninyi mnakuaga kama ------- kila siku hii topic ipo mnaambiwa hakuna mwajili anaetoza hela ktk kuhire staff tena wanatakiwa wakupe wewe if posible bado mnaomba ushauri kwa kitu hichohicho ghaaaaaaaa!!!
Ukumbuke ukiweka post hapa inasaidia na watu wengine kufunguka. Kama wewe unajua sio wote wanaojua. kuna watu ndio mara ya kwanza kukutana na hii issue. kuna wengine hawajawahi kukutana nayo. kwa hiyo ni kusambaza ujumbe.Harafu na ninyi mnakuaga kama ------- kila siku hii topic ipo mnaambiwa hakuna mwajili anaetoza hela ktk kuhire staff tena wanatakiwa wakupe wewe if posible bado mnaomba ushauri kwa kitu hichohicho ghaaaaaaaa!!!