namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 611
Nataka ushauri kutoka kwa watu. Huwezi jua. Yawezekana ni kweli na wapo wenye vithibitisho au ni uongo na uthibitisho wa uhakika ukawepo. Kuuliza si ujinga japo kuna kuangalia
Poa mkuu ila kwa jinsi ninavyo wajua watu wa jf utapata majibu nusu watakwambia ni kweli na nusu watakwambia uongo. Ndiyo maana mie nimekwambia jaribu kuvaa ujasiri wewe ni mwanaume usiogope unapotafuta pesa cha msingi watumie hiyo halafu sikilizia mkuu, utakuwa mwalimu mzuri sana wa kujibu maswali kama haya