Nimewahi kusema kuwa dawa ya mpotoshaji ni kumvua nguo zinazofanya watu wasijue kuwa anapotosha, ukishaziondoa nguo hizo hawezi kumhadaa yeyote tena. Ni bahati mbaya kuwa vijana wengi ktk hii mitandao ya kijamii wanapenda kucomment, kupost na kushare lakini kamwe hawapendi kusoma na kutafakari kwa kina kabla ya ku-comment.
Picha hizi ni za kikao cha kwanza cha World Refugee Council kilichofanyika Geneva-Uswisi tarehe 12 June 2017. Mh Jakaya Kikwete ni mwenyekiti mwenza wa WRC. Wengine ni Dr Lloyd Axworthy/Canada ( Huyo bonge aliyevaa tai Nyekundu ) huyu ndiye mwenyekiti wao, Paul Heinbecker/Canada (Huyo mwenye kipara ), Hina Jilani/Pakistan (Mwanamama aliyevaa nguo yenye ukijani na kijivu) na wa mwisho ni Rita Sussmuth/Ujerumani (Aliyevaa koti la pundamilia).
Picha hizi ziliwekwa mtandaoni na Mh Jakaya Kikwete tar 13 baada ya kumalizika kwa kikao hicho. Kwa ushahidi Bonyeza hapa
[HASHTAG]#Note[/HASHTAG] Hivyo, ukikutana na mtu yeyote amezitumia picha hizo kwa habari tofauti usimcheke, bali mwambie kuwa Ujinga wa kutokujua huondolewa na maarifa, lakini ujinga wa kujitakia ili kupotosha hukudharilisha.