Ukweli kuhusu picha anazoonekana JK amekaa na wazungu . Tusipotoshe

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,000
Nimewahi kusema kuwa dawa ya mpotoshaji ni kumvua nguo zinazofanya watu wasijue kuwa anapotosha, ukishaziondoa nguo hizo hawezi kumhadaa yeyote tena. Ni bahati mbaya kuwa vijana wengi ktk hii mitandao ya kijamii wanapenda kucomment, kupost na kushare lakini kamwe hawapendi kusoma na kutafakari kwa kina kabla ya ku-comment.

Picha hizi ni za kikao cha kwanza cha World Refugee Council kilichofanyika Geneva-Uswisi tarehe 12 June 2017. Mh Jakaya Kikwete ni mwenyekiti mwenza wa WRC. Wengine ni Dr Lloyd Axworthy/Canada ( Huyo bonge aliyevaa tai Nyekundu ) huyu ndiye mwenyekiti wao, Paul Heinbecker/Canada (Huyo mwenye kipara ), Hina Jilani/Pakistan (Mwanamama aliyevaa nguo yenye ukijani na kijivu) na wa mwisho ni Rita Sussmuth/Ujerumani (Aliyevaa koti la pundamilia).

Picha hizi ziliwekwa mtandaoni na Mh Jakaya Kikwete tar 13 baada ya kumalizika kwa kikao hicho. Kwa ushahidi Bonyeza hapa
[HASHTAG]#Note[/HASHTAG] Hivyo, ukikutana na mtu yeyote amezitumia picha hizo kwa habari tofauti usimcheke, bali mwambie kuwa Ujinga wa kutokujua huondolewa na maarifa, lakini ujinga wa kujitakia ili kupotosha hukudharilisha.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,281
2,000

BATAZZZ.jpg
 
mzee74

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
10,596

Acha uongo.JK ali tweet yupo CANADA baada ya kupitia hapo DUBAI.
 
Yodoki II

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
5,308
2,000
Mbona mnajihami hivyo mkuu......

Nchi ilishaliwa beyond recovery, hata tungekuwa tunachimba dola bado umaskini wetu ungebaki pale pale, umaskini sio resources ni mindset.... Muulize mtemi Chenge.
Wewe ni wale waitwao vilaza
 
Batale

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,113
2,000
Wewe bure kabisa, Jk alitweet kwenda Canada ww unabadilisha. Akili ya fisi.
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,109
2,000
Kitendo cha kamati ya pili ya makinikia kuacha kumtaja Jakaya kikwete kama mmoja wa mawaziri, tena waziri wa kwanza wa madini kusign mikataba ya madini na baadae mheshimiwa rais kudai wale waliotajwa kwenye report hiyo wahojiwe inasababisha kuwa rahisi sana kuona uwezekano wa ile report kuwa ililuwa doctored pale ikulu.

Ikulu yetu imekuwa na kawaida ya kutengeneza kamati za uchunguzi huku yenyewe ikiwa na msimamo wake wa kile inataka kirepotiwe.

Mfano ni report ya Jaji Kisanga aliyomkabidhi mheshimiwa mkapa,baada ya kukabidhiwa report Mkapa alikuja juu kwamba report imezungumzia mambo ambayo kimati haikuambiwa kuyaangalia.Inawezekana huo ulikuwa ni mwanzo wa ikulu kutaka kuedit report kabla ya kuwa rasmi.

Hii inasababisha hata tunaofurahishwa na hatua anazochukua rais kuwa wagumu kumsupport,.
 
Hujui hata unachokiandika, elimu elimu elimu.
 
JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,000
Wewe bure kabisa, Jk alitweet kwenda Canada ww unabadilisha. Akili ya fisi.
Wewe ndiyo kilaza wa kutupwa, kwani JK amesafiri kwenda Canada tu? Jiongeze ujue hiyo picha ni ya lini na wapi, acha uvuvuzela wa kipumbavu hata kama unalipwa ndo ujitoe ufahamu kiasi hicho?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom