Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Haiendani na maana ya honorary degree. Ikiwa huelewi maana ya hiyo PhD soma hapa.
''An honorary degree (a degree honoris causa) (In Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university/degree-awarding institution) award to someone as a way of honoring that person for his/her contributions to a specific field, or to society in general.
Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia
Kulingana na matatizo makubwa yanayoendelea nchini na mwenendo wa utawala wa huyo bwana inakuwa vigumu kukubali kwamba anastahili heshima hiyo. Inaonekana amepewa kwa sababu za kisiasa au kuna watu wanatoa shukrani katika vyuo husika.
Nimesikitishwa sana na chuo ambacho watu wamepitia wengi sana na ambao wako kwenye ngazi muhumu sana serikalini kumpa PhD Kikwete. Mambo ya kujiuliza watanzania wenzangu ni kwa nini huyu mtu anapewa hii heshima? kwa lipi hasa alilolofanya kubwa kwenye sheria na mpaka apewe PhD? Je ni kuwanyima mahakimu wa mahakama za mwanzo mazingira mazuri ya kufanya kazi? ingekuwa vizuri na inampendeza mungu ningemtukana Mkandara kwa kusukuma hili na likawezana kwa sababu yeye ndo kawekwa pale kwa maslai yake Kikwete. I hate this and I will join who will rejoice the fall of Kikwete mzalimu na fisadi mkubwa nchini Tanzania na anayepewa PhD kwa ufisadi wake wa kubaka democrasia
Arudi shule akatafute nn haswa?kama heshima anayo ndani na nje ya nchi,nabii akubaliwi kwao,ww unaumia nn rais kupewa phd,na unahitaji mchango gani kama rais atoe ili upate hiyo heshima,by the way phd yake ni heshima tu,kuongoza harambee na kupata zaid ya mil 800 kwa maendeleo na ujenzi wa chuo unahitaji nn tena kujua kama anamchango wake,watanzania acheni majungu mnamkosea heshima kweli muheshimiwa mi naamin kwa nafac aliyonayo hahitaji phd zetu za maneno manenoArudi shule ipi atakayoiweza? wakati yupo kijana na mambo hayakuwa mengi alipata GPA ya 2, sasa akisema arudi ni supplimentary kozi zote ktk semister ya kwanza
Mkubwa unajua maana ya CV?. Unafikiri wale wasomi wote wa Udsm ni wajinga mpaka wakubaliane kumtunukia hii Phd? This man is Capable kinachotuumiza wabongo ni wivu, majungu na zaidi ni kufuata upepo tu ili mradi umesikia mwenzako kasema na wewe unalipuka, angalia usije ukaenda kaburini bila hata certificate ya chekechekea. watu wako busy they are working hard wewe piga majungu.
Wivu utakuua wewe, ameshapewa PhD ngapi na vyuo vyenye hadhi gani ulikondee la Mlimani!!
Halafu, hivi akipewa hiyo PhD mfumuko wa bei unaongezeka? Au ndo Dowans wanalipwa? Labda utanyang'anwa uraia. Najaribu kutafuta kwa nini linakugusa hivyo hili suala, hakuna sababu ya msingi kumbe ni wivu tu...
Binafsi hainisumbui JK kupata phd ya heshima.
Kimsingi mtu kupewa phd ya heshima ya sheria kama alivopewa JK,hakumfanyi mtu kuwa mwanasheria wala kupata hadhi hiyo-hata kama ukipewa phd 200!
Kwa mfano,hauwezi kupractice wala kufanya bar exam uwe wakili wala kwenda law school..wala huwezi kufanya shuguli za aina yoyote za kisheria.
U need an earned LLB(1st law degree obtained from a recognised institution) to do that!
An honorary phd doesn‘t make u a lawyer!
Nimesikitishwa sana na chuo ambacho watu wamepitia wengi sana na ambao wako kwenye ngazi muhumu sana serikalini kumpa PhD Kikwete. Mambo ya kujiuliza watanzania wenzangu ni kwa nini huyu mtu anapewa hii heshima? kwa lipi hasa alilolofanya kubwa kwenye sheria na mpaka apewe PhD? Je ni kuwanyima mahakimu wa mahakama za mwanzo mazingira mazuri ya kufanya kazi? ingekuwa vizuri na inampendeza mungu ningemtukana Mkandara kwa kusukuma hili na likawezana kwa sababu yeye ndo kawekwa pale kwa maslai yake Kikwete. I hate this and I will join who will rejoice the fall of Kikwete mzalimu na fisadi mkubwa nchini Tanzania na anayepewa PhD kwa ufisadi wake wa kubaka democrasia
Haiendani na maana ya honorary degree. Ikiwa huelewi maana ya hiyo PhD soma hapa.
''An honorary degree (a degree honoris causa) (In Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university/degree-awarding institution) award to someone as a way of honoring that person for his/her contributions to a specific field, or to society in general.
Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia
Kulingana na matatizo makubwa yanayoendelea nchini na mwenendo wa utawala wa huyo bwana inakuwa vigumu kukubali kwamba anastahili heshima hiyo. Inaonekana amepewa kwa sababu za kisiasa au kuna watu wanatoa shukrani katika vyuo husika.
nilikujib kuwa haipunguz kitu ila baadhi ya wanajf wanahoj kwa utendaj upi jk anakidhi vigezo vya kupewa heshima hiyo?
Ivi Nyerere alijiita dr. Nyerere?Mugabe kajiita dokta? Kwani wao hawakupata phd za hesma?Mbona kikwete anajitweza ivo?Ati mh. Dr. Jk!
Anankumbusha ya mama,mchungaji,mh.dr mbunge rwakatare!
Tatizo ni wivu. Hiyo phd aliyopewa wewe imekuadhiri vip!, asipopewa hiyo phd matatizo tuliyonayo yatakwisha?... Acheni wivu, hicho ni cheti tu, hakina maana yoyote ktk shughuli zake.
TUNAJUA BANA UNATUELEZA NINI SASA,HALAFU NA KIINGEREZA KIBOVU UNAFAFANUA VITU USIVYOJUA UNAFAHAMU TOFAUTI YA LLB NA LL B ??,USIANDIKE VITU KAMA HUJUi