Sasa wewe unakunywa Castle Lite za bando unajiona mlevi!!!?
Kuna watu wanakunywa Wanzuki a.k.a pombe ya asali, ukinywa hiyo barabara huvuki na suruali chini ufunge.

Sijisifii ulev...ila unanikosea heshima kuniambia nakunywa clite....ila pia wanzuki eti nayo unadai ni pombe?then pia nilisema pombe siachi...HAYA YAMEKUJAJE?NAHISI UNATATIZO NA WALEVI ...POLE MKUU..NARUDIA TENA POMBE SIACHI..