Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba


Hvi mechi ya man na livepool sangapi
 
Awe makini kaa hilo lisimuunguze yeye mwenyewe!as 4 CDM mtela is as non existent as the so called Red mercury!!
 
Mbona mnalilia sana MANSOOR? Chukueni hilo gharasha kama kawaida yenu mlizike kisiasa kama akina SHIBUDA, MPENDAZOE , MILLYA na wengine.
Sasa jamaa ukiitwa -------- utachukia??huyo mwampamba mwenyewe unaemsifia ni garasa toka CDM unatutajia majina ili tukuone unajua kuchambua siasa ama huna kazi za kufanya??gt on ur sense dogo..
 

Mtela Mtela naomba uisome Katiba yote ya UVCCM via CCM,alafu nitafute,ili uniambia ni Halali au Halamu
 

Umekuja tena kivingine? Kweli nimeamini maneno ya Msaafu Rais Karume kuwa;

 

heshima yako mkuu Lunyungu i micd you lots
 
Last edited by a moderator:
huyu ni mamluki hawez badilika leo yupo ccm kesho njaa ikiuma akaaidiwa chips kuku atahujumu tena.kama alivyosema ktk nukuu yake kinacho elea ziwani hata baharini kitaelea kisho mtoni na hata bwawani mradi akidhi njaa yake
 

Hili jina ndo kwanza tunalisikia.Jina hili halijawahi kuwa tishio wala mvuto ndani ya chadema.Hivyo huna haja ya kumpamba sana(kama jina lake).Hajawahi kuwa na influence yoyote ndani ya chadema,alikuwa mwsnachama kama wanachama wengine wanaopewa fursa ya kuonyesha uwezo,uwajibikaji na uaminifu ndani ya chama.Lakini akafanyatofauti,chadema wakaamua kumfukuza.Hata huko alikoajifunze kuwa mwaminifu na mwajibikaji kwenye chama unachokiamini.Ni tabia yake kutoa mipango na mikakati ya chama,si ajabu hata huko CCM akahama na kwenda kwengine na KUROPOKA mambo mengi ya chama.Mwapamba umeonyesha si wa kutumainiwa kwa kuwa una TABIA ya kuropoka na kujipamba sana kana jina lako.
 

mkuu wa propaganda a.k.a tambwe hiza
 
Hivi huu ndio utaratibu wa CCM?

Mtu unapewa cheo halafu wewe mwenyewe unaenda kujitangaza kwenye magazeti na mitandao?
 
Nalaani mda niliokuwa nipo chipukizi, but ilikuwa enzi ya single party!
Nililazimisha mwanahalis kusomwa kwenye ofisi ya umma (jeshini upanga) baadaye wote hata wakuu wakaanza kulisoma kwa uhuru. Kwahiyo ccm ulitazkiwa kuikataa kwa namna yoyote. Kwangu hatuwajui ccm wanangu wanafundishwa kuwa ccm ni uhalifu, DHAMBI.
 
Maana ya Mwampamba siyo kujipamba ila ni mdudu anayeitwa majimoto.
 
Mhm huyu mtu, pale mbozi wanamchukia sana kwa kuwasaliti nakupokea kitita cha hela kutoka kwa mbunge Zambi,kwakupewa ahadi kuwa atagombea 2015, Dunia haina siri waulize watu wa mboz,
 
Mhm huyu mtu, pale mbozi
wanamchukia sana kwa kuwasaliti nakupokea kitita cha hela kutoka kwa
mbunge Zambi,kwakupewa ahadi kuwa atagombea 2015, Dunia haina siri
waulize watu wa mboz,
hana lolote njaa tupu, yani nawshangaa sana magamba wanaona wamepata mtu,, hovyooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…