Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

wacha kupotezea [emoji4] wapi Mungu kamtuma Muhammad mtoto wa abd allah [emoji47] [emoji348] [emoji348] [emoji348] [emoji348]

Nani kamtuma Pope Francis kumbadilisha masomo ya filosofia kijana Yayo Agassi na kumfundisha ushoga
 
kwani kakutangazia yeye mtume [emoji348] [emoji348] [emoji348] wee vipi [emoji38] acha ulozi wewe [emoji15]
 
Unajifanya hujui kuwa yeye mumemfanya kuwa zaidi ya mtume??
 
Hii mada imajaa wafuatao

1÷ WAISLAM WALIOKUBUHU KATIKA MASOMO YA KIKRISTO KULIKO YA KIISLAM

2÷ WAKRISTO WALIOKUBUHU KATIKA ELIMU YA KIISLAM NA QURAN KULIKO UKRISTO NA BIBLIA YENYEWE.

Wenzangu na mie tubaki kiwa washabiki na washangiliaji

MPAMBANO HUU HAUTOKAA UISHE MPAKA YESU ARUDI KWA WAKRISTO NA SIKU YA KIAMA IWAFIKIE WAISLAM.
 
Unajifanya hujui kuwa yeye mumemfanya kuwa zaidi ya mtume??
nimekuuliza wapi Pope amejitangaza yeye ni mtume wa umma huu kama alivyo jitangaza muhammad mtoto waabd allah [emoji348] [emoji348] [emoji348] toka kilingeni uje ujibu [emoji12]
 
uko kweli ila unachanganya Ya kaisari na Mungu,,, Kiroho na kimwili
 
Yohana 16:2-3 'Saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anatolea Mungu sadaka. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala Mimi'. Dini inayoua wengine kwa imani kuwa ni ibada haitokani na Baba.
 
Sa ibada inatoka kwa nani? Kama si Baba. Ujinga wa bibilua ndo huo
 
kijana una maradhi gani upewe dawa sawia allah amekuagiza uiamini Biblia [emoji117] kweli wazimu ni fani [emoji12] ndio sababu allah amesha wahukumia wafuasi wa muhammad woote jehannam [emoji117]
 
nimekuuliza wapi Pope amejitangaza yeye ni mtume wa umma huu kama alivyo jitangaza muhammad mtoto waabd allah [emoji348] [emoji348] [emoji348] toka kilingeni uje ujibu [emoji12]

Pope mumempa cheo zaidi ya mtume kataa

Sasa tuambie nani alimpa amri pope Francis ya kumbadilisha masomo shoga Yayo Agassi kutoka filosofia kwenda ushoga??
 
Yohana 16:2-3 'Saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anatolea Mungu sadaka. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala Mimi'. Dini inayoua wengine kwa imani kuwa ni ibada haitokani na Baba.

Kumbe kuna Baba mbali na Yesu mbali ??
 
Huwezi kuielewa biblia kama unaona imejaa ujinga. Utaielewa siku ya kiama.

Unaongelea biblia ipi??? Queen James version ?? King James version?? NIV,RSV??????Douay?? Au maelfu ya Bibilia tofauti???
 
hili swali lako unarudia rudia ukijiona mjuzi kumbe hujui kwamba hujui [emoji12] nilikujibu [emoji117] tuwekee toleo moja tu linalo pingana na Amri.10.za Mwenyezi kama koloani inavyo zipinga..[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…