Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

sawa lakini kaa ukijua kuwa uislam ni uongo mtupu na kua yaliyotabiriwa katika biblia yameshatimia na mengine yako kwenye process..... endeleeni kuamini kitabu kilichoandikwa na waarabu
Tuwaunge mkono waisrael pia kumkataa Yesu,na kumuita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Mi mbona nilishaacha kubishana na hawa vilaza..hujui dini yako imeanzishwa lini, Nani kaanzsha dini na bado unajifanya kujua..af unakuja na kalenda yako..Lakin hujui imeanza kuhesabu lini..Anzeni na elimu dunia kwanza nadhan itawasaidia kuelewa elimu akhera..tatzo waislam wengi hamjaenda shule.
 
Hata hili hujui?

Nenda katafute kwenye Quran utaona ijumaa ilivyoanza, lakin muhamad mjanja ,awali alisali jumamos na wayahud ,ndio maana QURAN imeitukuza siku ya Jumamosi kama takatifu ,wakati ijumaa imeisema kama siku ya kazi tu,
tuoneshe hayo madai yako unakoyatoa na sie tupate ilmu
 
Sema ubudha una umri mkubwa kuliko imani zote zikiwemo hizo imani za ki Ibrahim mnazo pambania.
 
unaweza kuthibitisha ,Kwakutumia Quran ,kuwa YERUSALEMU ni ya waislamu ,na walikuwepo waislamu hapo?

Maana umekurupuka, ngoja tuanzie hapo
NAOMBA TUKUBALIANE KITU KIMOJA CHA MSINGI MAPEMA KABISA.
UNACHOSEMA NAWEZA KUKUTHIBITISHA BILA UKAKASI WOWOTE, NAKUTHIBITISHIA MCHANA KWEUPE PEE.
SWALI NI JE NIKISHAKUTHIBITISHIA HATMA YEKE NINI ? WASOMI HATUFANYI MABISHANO NA MIJADALA YA KISHABIKI BALI YA KIELIMU AMBAYO MWISHO WA YOTE TUNAKUBALIANA KWA KUFUATA HADIDI REJEA NA VYANZO VINGINE VYENYE KUKUBALIKA, NA SIYO KUBISHANA KWA MIHEMUKO NA JAZBA KAMA ULIVYO FANYA KWENYE POSTI YA KWANZA NA UNACHOOKIOMBA KWENYE POSTI HII. HIVYO NAKUULIZA SWALI LA MSINGI KABISA NIKISHA KUTHIBITISHIA HICHO UNACHO TAKA UTAFANYAJE?
 
Ukisikia sinagogi ni misikiti ya waisilamu kizazi cha yakobo na jesu yuko ndani. Ukristo ni upagani wa kirumi ulioboreshwa na paulo mkoloni wa wayahudi alitumia jina la yesu kupeleka urumi duniani miaka 14 baada ya yesu
 
Sio kutaja kwa Bibilia ndo kweli inawamilikisha wale ni waloezi tu. Mbona Bibilia inasema Yesu ni mungu wakati ni mtu usiiamini bibilia%100 utapotea
 
Na ukafiri je
 
Ukisikia sinagogi ni misikiti ya waisilamu kizazi cha yakobo na jesu yuko ndani. Ukristo ni upagani wa kirumi ulioboreshwa na paulo mkoloni wa wayahudi alitumia jina la yesu kupeleka urumi duniani miaka 14 baada ya yesu
Eti sinagogi ni msikiti,

Umeipata wap hii
 
Lete ushahidi kuwa waisrael wa leo ni vizazi halisi vya Yakobo!

Tunajua vizazi vya Yakobo ni wana kumi na wawili, Je Waisrael wa leo ni kabila gani katika zile 12 za wana wa Israel?, lete ushahidi
Kwa hiyo hao 12 wao hawakuendelea kuzaana!
 
Makafiri wanashangaza sana, wanasema eti uislamu ulikuwepo kabla ya mudi, wakati kaja nao mudi miaka ya 600AD
Na uelewe kuwa Uislamu umekuwepo tangu enzi za Adam. Ata mitume na manabii wote walikuwa ni Waislamu, ata huyo mnae muita Yesu nae alikuja na mafundisho ya Uislamu. Bali nyie mliyabadilisha baada ya kifo chake na kuyafanya kuwa ya kikristo. Waislamu wanaamini mitume na manabii wote lakin wakristo hawaamini hivyo hapo ndio kwenye tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…