Tunasimuliwa/tunafundishwa, Maisha yako yote Ni njia uliyo jichagulia kabla ya kuzaliwa.Aisee hapo katika vitufe sasa. Ili upatie lazima MUNGU ahusishwe
Maisha yako yote yamepangwa na Mungu,I hate this conspiracy ahahahTunasimuliwa/tunafundishwa, Maisha yako yote Ni njia uliyo jichagulia kabla ya kuzaliwa.
Hakuna unacho weza kubadili/kukibadili japo kwa bahati mbaya.
Kwani kuoa au kujenga ukiwa na miaka 40 ni kosa la jinai?Hiyo ya kwanza kabisa hapo juu ni kweli kabisa na ndio iliyopo zaidi kwasasa
Kuna jamaa alikuwa analalamika kuhusu maisha na akasema ni bora angeishia form four akaenda kusomea ufundi
Unakuta vijana walioishia Form Four wamenunua viwanja, wamefyetua matofali hata ya kuchoma, wana bajaji kadhaa mjini na mifugo
Wameoa na wana watoto na tena wanawasomesha vizuri tu
Wengine ni wauza chips tu
Sasa wewe na Degree au Masters yako endelea kusubiri kuajiriwa, utakuja kujenga na kuoa ukiwa na miaka 40 au zaidi
Kama ujazaliwa na connection jeFomula imepatakana mkuu.. Connection ndio fomula.
Naona unajifariji sawaKwani kuoa au kujenga ukiwa na miaka 40 ni kosa la jinai?
Kila mtu anatembea kwenye 'timeline' yake. Hapa bongo sasa hivi ni saa sita na madikika adhuhuri, lkn kuna nchi nyingine sasa hivi ni usiku, hii haimaanishi Tanzania inachelewa, la hasha! Kila nchi inatembea kwenye timeline yake.
Acheni kukariri. Kuna mtu ameoa na miaka 25 ila hadi sasa hana mtoto/watoto, kuna mtu ameoa na miaka 40 ila ana mapacha 3. Kuna mtu amejenga na miaka 25 akafa baada ya mwaka 1, na kuna mtu amejenga na miaka 40 na anaishi kwenye nyumba yake mpaka sasa.
Tusipangiane maisha.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Maisha hayana formula ndugu.Sasa wewe na Degree au Masters yako endelea kusubiri kuajiriwa, utakuja kujenga na kuoa ukiwa na miaka 40 au zaidi
Umekuwa mkuu wa idara mkuu hongera.Maisha hayana formula ndugu.
2012 niliwaza nikipata Bachelor na Masters Kuna kitu (nilikua nakivizia kazini) nitakipata.
Baada ya ku graduate masters December, kufika March kile kitu NILIKIPATA.
Kwangu vyeti vimelipa na vimenifungulia fursa zaidi.
Usidharau DEGREE na MASTERS.
#YNWA