Ukweli kuhusu maisha

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,648
Tafiti zilizofanywa na wataalamu wa elimu ya jamii wanashauri:
● Kutokuhangaika na Mjinga bali Ujinga; na
● Kutokushughulika na Mkosaji ila Kosa lenyewe.

Maana yake ni kwamba wengi wetu litendekapo jambo lawama hushushiwa mtendaji badala ya tendo lenyewe. Kushughulikia tendo lilofanyika hutoa nafasi ya kujua kiini chake.

Kwa msingi huo hata tunapodai Katiba mpya tusisukumwe na waliopo madarakani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom