Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Duh! Dola 3, 000. Bonge la darizi. Lakini ndio hivyo kuku mgeni anakuwa zawadi kwa wajanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kidogo sana hicho. Kama wewe uko huko,usije ukamdanganya namna unavyoishi wewe. Wewe umeshazoea unataka uishi kama wanavyoishi wenyeji. Badala ya kuhustle,unataka umachinooh...! Si hatutawaelewa huku kurudi mikono mitupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza sitahitaji kumsaidia yeyote kuja huku.Kila mtu apambane na hali yake.Na Kama mtu yeyote ataambiwa na yeyote atoe pesa kuhusu kufanyiwa mchongo ajue atatapeliwa tu.Hivyo nawatahadharisha sana hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela ya kawaida sana mdogoangu,wala usijutie kwa michongo utakayoipata huko. Ukifanikiwa tu kujichanganya uraiani tayari hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We toka hapa wewe,endelea sasa hivi. Watu tunataka kujilipua huko. Halafu dogo huko Canada ndio mahala pake hasaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa mnafikiri Canada maisha ni Ubwete,siku ukifika ndio utajua Canada ikoje pia watu waliotangulia huwa hawasemi ukweli kwa wenzao wanaotamani kwenda huko,maisha ni expensive labda unaishi miji midogo,
 
Ndiko anaelekea japo hatasema. maana kuna watu watajaa PM
Sielekei huko mkuu,kwanza nataka utambue kuwa mimi sikufanyiwa mchongo wa Visa ya Marekani nilienda kupitia Kampuni yangu ila nilikuwa na Plan ya kuzamia Marekani ila niliambiwa hapafai nikapewa mchongo wa kuja hapa Canada hivyo mimi siwezi kumsaidia mtu kuja Canada wala Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupunguza maswali ..malizia basi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale hawaombagi tu hela waga wanatenda ile dhambi mbaya pia.... Yaani wamexico,wazanzibari,wamarekani,wasomali wakuache hivihivi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…