Ukweli kuhusu maisha ya mbele ya binadamu

Just talker

Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
50
Reaction score
63
UKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU.

Na: @justtalker

Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao utauishi sijui kama naeleweka.

Namaanisha hivi, kwa mfano huu ni mwaka 2021, mbele yetu kuna miaka yote kuanzia 2022, 2023, 2024 na kuendelea. Kwahiyo kama labda utaishi hadi 2050 labda kabla ya kukata roho basi kuanzia 2022 hadi 2050 kila mwaka upo tayari, sio kila mwaka utafika au utauona ila ipo hivi inapo fika mwisho wa mwaka ulipo kwa mfano ilipo fika tarehe ya mwisho ya 2020 kuingia 2021 wewe wa 2020 uliishia 2020 wewe wa mwaka huu ni mwingine sio yule wa mwaka Jana tena ila mungu anakuwekea kumbukumbu ya miaka yote ambayo wewe wa miaka hiyo uliiishi. Kwa maana nyingine niseme kama umepangiwa kuishi miaka 50 duniani basi kuna akina wewe watu 50 ambao kila mmoja yupo mwaka wake kuanzia mwaka wa kuzaliwa hadi mwaka wa mwisho wa kufa.

Kwamaana hiyo ikifika tarehe ya mwisho ya mwaka 2021 ukiwa umelala utakapo amka usingizini mwaka 2022 kama utakuwa ulikuwa umelela basi wewe ni wa mwaka 2022 sio huyu wa mwaka huu. Na kama hauta lala utafika hadi 2022 basi ujue mpo wawili wewe wa 2021 na wewe wa 2022 ila utakapo lala basi wewe wa 2021 hautaamka tena utayeyuka atakaye amka ni wewe wa 2022.

Kuna jamaa aliwahi kusafiri kwenda maisha ya mbele ( time traveling 🧳) alipo fika alijiona yeye wa mwaka huo alio enda japo dunia haikumuamini lakini hii inaonesha kuwa mwaka alio enda ulikuwa na yeye mwingine wa mwaka huo ambaye alimkuta ashazeeka.

Ni suala ambalo lakufikirika sana, lakini ukifikiria kuhusu time traveller utanielewa zaidi. Ndiyo maana hata zile movie za kurudi nyuma au kwenda mbele zinamuonesha mtu aliye rudi nyuma au kwenda mbele pamoja na mwingine yeye wa mwaka huo alio enda kuuona.

Swali la kujiuliza kwanini kama mwaka Jana kuna kitu kilikuumiza bado kitaendelea kukuumiza Wakati wewe sio yule aliye umizwa, au kwanini kama ulikuwa una makovu au alama yoyote haitafutika. Majibu yake ni kuwa mungu tayari anayo taswila yako ambayo alikuumbia ya maisha yako yote, maisha ya binadamu ni kama script ambayo tayari ishaandikwa. Mungu ni mmoja binadamu kwasasa tupo billion 7 na zaidi ujiulize anawezaje kutuangalia kila siku kila mmoja wetu pasipo kukosea, utaniambia wapo malaika wanao tuangalia inaweza kuwa kweli labda lakini hata malaika sio wote wazuri maana hata shetani alikuwa akiishi mbinguni akaasi kwahiyo siaamini kama mungu ataziamini taarifa zote atakazo pewa na malaika.

Sasa je? Mungu anawezaje kutuangalia wote, majibu ni kuwa kila binadamu maisha yake tayari yashatengenezwa toka kuzaliwa hadi kufa kwake, kwahiyo kazi ya mungu ni kuendelea kuwaumba wengine, na kazi ya malaika ni kutulinda dhidi ya matatizo yanayo tunyemelea watu wake mungu ambayo wao tayari wanayajua kwa miaka yetu yote ya mbele hadi kufa kwetu.
 
HOJA FIKIRISHI SANA, TOO DEEP
 
Nimependa hoja yako

Ikiwa kama kila tarehe 31 ya mwisho wa mwaka tunapoingia mwaka mpya watu wote tunakufa, je vipi kwa hao wachina ambao mwaka mpya wao ni mwezi wa pili?
No wachina sio inakuwa mwezi wa pili, kila mwaka ni siku tofauti na mwezi tofauti itategemeana na aina ya mnyama wa mwaka huo.
4DE30E26-45FB-4E90-B407-923CC43C6489.jpeg

sherehe hii wanaichukulia kama sikukuu ya mwaka mpya lakini hawaichukulii kama tarehe 1 mwezi wa 1 na mwaka flani mpya Hapana, ila ndiyo inakuwa siku yao ya kuisherehekea sikukuu ya mwaka mpya. Ila na wao wanaitambua tarehe 1 na mwezi wa kwanza kama sehemu zingine tofauti ni kuwa wao siku hiyo ya tarehe moja ya mwezi wa kwanza wanaichukulia kawaida ila sikukuu kubwa ndiyo hii ya kusherehekea mnyama wa mwaka huo.

nafanya kazi kwenye kampuni ya wachina nilisha wauliza hilo hata mwezi jana tulikuwa tunasherehekea pamoja 😂
 
Maybe its true, if proven that time travel exist.

Mi binafsi, sijajua (kama kuna mtu anaez akunipinga au kuniunga mkono kisayansi afanye hivyo, rukhsa) kuwa mtu anaweza kutengeneza parallel ways za kuishi kwenye ulimwengu huu huu regardless na destiny yake ilivyo.

Mf. Kama imeandikwa uwe tajiri, lakini ukazembea na ukawa masikini, ipo sehemu ya wewe ya maisha yako ya kitajiri inakusubiri. Na ikitokea ukalivunja hilo daraja (a point of no return ya wewe kuwa tajiri), doppleganger wako ataendelea kuishi maisha yale, kiasi cha aidha kuwasiliana nawe ndotoni (mtu kuota hali za utajiri il hali bado ni masikini) au kujiona una uhalisia zaidi ukipata moments chache za utajiri na kuhisi wazi kuwa haustahili kuwa masikini ila utafanyaje (hii hali inawakutaga sana watu walioacha talents zao na kuendelea kuishi na guilty za maisha bila talents zao)
 
UKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU.

Na: @justtalker

Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao utauishi sijui kama naeleweka.

Namaanisha hivi, kwa mfano huu ni mwaka 2021, mbele yetu kuna miaka yote kuanzia 2022, 2023, 2024 na kuendelea. Kwahiyo kama labda utaishi hadi 2050 labda kabla ya kukata roho basi kuanzia 2022 hadi 2050 kila mwaka upo tayari, sio kila mwaka utafika au utauona ila ipo hivi inapo fika mwisho wa mwaka ulipo kwa mfano ilipo fika tarehe ya mwisho ya 2020 kuingia 2021 wewe wa 2020 uliishia 2020 wewe wa mwaka huu ni mwingine sio yule wa mwaka Jana tena ila mungu anakuwekea kumbukumbu ya miaka yote ambayo wewe wa miaka hiyo uliiishi. Kwa maana nyingine niseme kama umepangiwa kuishi miaka 50 duniani basi kuna akina wewe watu 50 ambao kila mmoja yupo mwaka wake kuanzia mwaka wa kuzaliwa hadi mwaka wa mwisho wa kufa.

Kwamaana hiyo ikifika tarehe ya mwisho ya mwaka 2021 ukiwa umelala utakapo amka usingizini mwaka 2022 kama utakuwa ulikuwa umelela basi wewe ni wa mwaka 2022 sio huyu wa mwaka huu. Na kama hauta lala utafika hadi 2022 basi ujue mpo wawili wewe wa 2021 na wewe wa 2022 ila utakapo lala basi wewe wa 2021 hautaamka tena utayeyuka atakaye amka ni wewe wa 2022.

Kuna jamaa aliwahi kusafiri kwenda maisha ya mbele ( time traveling 🧳) alipo fika alijiona yeye wa mwaka huo alio enda japo dunia haikumuamini lakini hii inaonesha kuwa mwaka alio enda ulikuwa na yeye mwingine wa mwaka huo ambaye alimkuta ashazeeka.

Ni suala ambalo lakufikirika sana, lakini ukifikiria kuhusu time traveller utanielewa zaidi. Ndiyo maana hata zile movie za kurudi nyuma au kwenda mbele zinamuonesha mtu aliye rudi nyuma au kwenda mbele pamoja na mwingine yeye wa mwaka huo alio enda kuuona.

Swali la kujiuliza kwanini kama mwaka Jana kuna kitu kilikuumiza bado kitaendelea kukuumiza Wakati wewe sio yule aliye umizwa, au kwanini kama ulikuwa una makovu au alama yoyote haitafutika. Majibu yake ni kuwa mungu tayari anayo taswila yako ambayo alikuumbia ya maisha yako yote, maisha ya binadamu ni kama script ambayo tayari ishaandikwa. Mungu ni mmoja binadamu kwasasa tupo billion 7 na zaidi ujiulize anawezaje kutuangalia kila siku kila mmoja wetu pasipo kukosea, utaniambia wapo malaika wanao tuangalia inaweza kuwa kweli labda lakini hata malaika sio wote wazuri maana hata shetani alikuwa akiishi mbinguni akaasi kwahiyo siaamini kama mungu ataziamini taarifa zote atakazo pewa na malaika.

Sasa je? Mungu anawezaje kutuangalia wote, majibu ni kuwa kila binadamu maisha yake tayari yashatengenezwa toka kuzaliwa hadi kufa kwake, kwahiyo kazi ya mungu ni kuendelea kuwaumba wengine, na kazi ya malaika ni kutulinda dhidi ya matatizo yanayo tunyemelea watu wake mungu ambayo wao tayari wanayajua kwa miaka yetu yote ya mbele hadi kufa kwetu.
Kwanza hongera kwa hoja yako.ok twendelee, Ukisema maisha ya binadam ni script ambayo ilisha andikwaa so humans they have no future only God have.
pili kulingana na hoja yako iyo ya mtu kiwa mpya kila mwaka By physical body its okey hata biology inakubali. Lakin The mind is still the same , Humans we are the same, lakin memories ndo zina tutofautisha.
Pia am not sure that God pado anaumba watu kama ilivyo andikwa kwenye Vitabu vya Dini. kuumba ulimwengu sio kazi kubwa kazi kubwa ni kuweka sheria interm of enerygies na forces kwa huo ulimwengu ili uweze kujiendesha wenyewe. mwanamke kuweza kuzaa binadam mwinginw ni mfano mzuri hapa.
Time travel and memories.
pia inakubaliana na hoya yako. ukisafir kwenda future mnayoita nyie ( lakin ukiingiza dini tu inakuwa sio future tena but kuremember your past life)
kisafir kwenda miaka mi5 mbele utamkuta mwenzako sawa, Lakin memory ya ww ulie safir itakuwa fupi kuliko ulie mkuta coz umeruka maisha hapa kati kati .
lakin kitu kinacho tuumiza kichwa ni jee inawezekanaje ni rudi nyuma ni muuwe mama yangu akiwa bado mdogo alafu bado niwe na ishi?je nimetoka wapi ?
MATRIX?
 
Hilo swali nishalifikiria sana hadi silipatiii majibu. Binafsi naona haiwezi kuwezekana ile walijaribu kufanya vile ila haiwezi kuwa reality. Ninacho weza kukiamini ni kuwa ukienda mbele au kurudi nyuma hauwezi kuchange kitu chochote labda utashuhudia tu. Kuna muda nawaza ukirudi nyuma huenda hata ukiwasemesha wasikusikie wewe utakuwa mtazamaji tu na wasikuone kwasababu kwenye hayo maisha uliyo rudi nyuma kuyaona wewe haukuwa kuyaishi tofauti na ukienda miaka ya mbele kuna uwezekano wakakuona kwakuwa ni sehemu ambayo unaishi tayari.
 
Mada nzito hiii....watu wa uzi wa "wamwisho ndo mshindi" haruhusiwi huku
 
Hilo swali nishalifikiria sana hadi silipatiii majibu. Binafsi naona haiwezi kuwezekana ile walijaribu kufanya vile ila haiwezi kuwa reality. Ninacho weza kukiamini ni kuwa ukienda mbele au kurudi nyuma hauwezi kuchange kitu chochote labda utashuhudia tu. Kuna muda nawaza ukirudi nyuma huenda hata ukiwasemesha wasikusikie wewe utakuwa mtazamaji tu na wasikuone kwasababu kwenye hayo maisha uliyo rudi nyuma kuyaona wewe haukuwa kuyaishi tofauti na ukienda miaka ya mbele kuna uwezekano wakakuona kwakuwa ni sehemu ambayo unaishi tayari.
Ni sahh kusafir na mwili sio rahis lakin watu hao wapo, Walisha tokeaga hapa dunia mara kibao wengine wakiwa mbele ya muda wengine nyuma wakiwa na miili yao. lakin ninacho ona hapa ni multi universe lke projection. yana hapa tulipo kuna wengine wanaisha hapa hapa lakin hatuna interaction nao yoyote ya material world wala kimudaa.ukitoke izo parallility zika ingiliana ndo mtu hujipata umeaafir kimudaa. Ila Time travel ipo lakin hatuwez imanipulate as a personal will naweza kusema ni universe disorder of time and space singularity because the perfection of the universe it is it imperfection.
Hawa wanasema ukiwakatika kasi ya mwanga utaweza kwenda mbele au kurudi nyuma wana tumia concept dhaifu sana dhaifu sanaaa.
 
I think you will perish hapo hapo coz the future will change
Utakua umeleta tofauti kubwa sana
Memories za watu wengi kuhusu wewe zitatikiwa kufutika kwasababh umenifanya kama h
aukuwahi exist
 
Hilo swali nishalifikiria sana hadi silipatiii majibu. Binafsi naona haiwezi kuwezekana ile walijaribu kufanya vile ila haiwezi kuwa reality. Ninacho weza kukiamini ni kuwa ukienda mbele au kurudi nyuma hauwezi kuchange kitu chochote labda utashuhudia tu. Kuna muda nawaza ukirudi nyuma huenda hata ukiwasemesha wasikusikie wewe utakuwa mtazamaji tu na wasikuone kwasababu kwenye hayo maisha uliyo rudi nyuma kuyaona wewe haukuwa kuyaishi tofauti na ukienda miaka ya mbele kuna uwezekano wakakuona kwakuwa ni sehemu ambayo unaishi tayari.
Sio vice versa mkuu?
Maana past ndio ambayo upo tayari yaani ulisha ishi

Kwanini wasikuone? Past or future
Ulivyo travel ulienda kwa jinsi ya mwili kwanini ukifika uwe in astral form?

Theory za kwenye movies unaweza rudi past na ukirudi past hakikisha unaishi exactly kama ulivyo ishi ukibadilisha hapa neno moja ulilo ongea kipindi icho you will change the future and the nature inatend kukupa madhala maana umecheza na mother nature(forces of nature)
 
UKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU.

Na: @justtalker

Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao utauishi sijui kama naeleweka.

Namaanisha hivi, kwa mfano huu ni mwaka 2021, mbele yetu kuna miaka yote kuanzia 2022, 2023, 2024 na kuendelea. Kwahiyo kama labda utaishi hadi 2050 labda kabla ya kukata roho basi kuanzia 2022 hadi 2050 kila mwaka upo tayari, sio kila mwaka utafika au utauona ila ipo hivi inapo fika mwisho wa mwaka ulipo kwa mfano ilipo fika tarehe ya mwisho ya 2020 kuingia 2021 wewe wa 2020 uliishia 2020 wewe wa mwaka huu ni mwingine sio yule wa mwaka Jana tena ila mungu anakuwekea kumbukumbu ya miaka yote ambayo wewe wa miaka hiyo uliiishi. Kwa maana nyingine niseme kama umepangiwa kuishi miaka 50 duniani basi kuna akina wewe watu 50 ambao kila mmoja yupo mwaka wake kuanzia mwaka wa kuzaliwa hadi mwaka wa mwisho wa kufa.

Kwamaana hiyo ikifika tarehe ya mwisho ya mwaka 2021 ukiwa umelala utakapo amka usingizini mwaka 2022 kama utakuwa ulikuwa umelela basi wewe ni wa mwaka 2022 sio huyu wa mwaka huu. Na kama hauta lala utafika hadi 2022 basi ujue mpo wawili wewe wa 2021 na wewe wa 2022 ila utakapo lala basi wewe wa 2021 hautaamka tena utayeyuka atakaye amka ni wewe wa 2022.

Kuna jamaa aliwahi kusafiri kwenda maisha ya mbele ( time traveling ) alipo fika alijiona yeye wa mwaka huo alio enda japo dunia haikumuamini lakini hii inaonesha kuwa mwaka alio enda ulikuwa na yeye mwingine wa mwaka huo ambaye alimkuta ashazeeka.

Ni suala ambalo lakufikirika sana, lakini ukifikiria kuhusu time traveller utanielewa zaidi. Ndiyo maana hata zile movie za kurudi nyuma au kwenda mbele zinamuonesha mtu aliye rudi nyuma au kwenda mbele pamoja na mwingine yeye wa mwaka huo alio enda kuuona.

Swali la kujiuliza kwanini kama mwaka Jana kuna kitu kilikuumiza bado kitaendelea kukuumiza Wakati wewe sio yule aliye umizwa, au kwanini kama ulikuwa una makovu au alama yoyote haitafutika. Majibu yake ni kuwa mungu tayari anayo taswila yako ambayo alikuumbia ya maisha yako yote, maisha ya binadamu ni kama script ambayo tayari ishaandikwa. Mungu ni mmoja binadamu kwasasa tupo billion 7 na zaidi ujiulize anawezaje kutuangalia kila siku kila mmoja wetu pasipo kukosea, utaniambia wapo malaika wanao tuangalia inaweza kuwa kweli labda lakini hata malaika sio wote wazuri maana hata shetani alikuwa akiishi mbinguni akaasi kwahiyo siaamini kama mungu ataziamini taarifa zote atakazo pewa na malaika.

Sasa je? Mungu anawezaje kutuangalia wote, majibu ni kuwa kila binadamu maisha yake tayari yashatengenezwa toka kuzaliwa hadi kufa kwake, kwahiyo kazi ya mungu ni kuendelea kuwaumba wengine, na kazi ya malaika ni kutulinda dhidi ya matatizo yanayo tunyemelea watu wake mungu ambayo wao tayari wanayajua kwa miaka yetu yote ya mbele hadi kufa kwetu.
Sijaelewa hata sentensi moja
 
Dah mkuu nahisi ulitaka kuandika kitu kizuri ila umeishia kwenye huu utopolo, ni bora ungeeka base kwenye muda na sio mwaka ambao ni umepangwa na binadamu, ndio maana ukaulizwa kwa wachina mwaka wao mpya vp?? I appreciate though..naonaa upo interested na hivi vitu, na una passion navyo...ila bandiko umeliwahisha sana mkuu..one love
 
Sasa inakuaje kama Maisha ya mwanadamu ni kama script kwanini kunawatu Wana script mbaya na wengine Script nnzurii,, He Mwenyewe Mungu ndio kampangia huyu anaekua na script mbaya kua hivyo au ni binaadam tu anajichanganya mwenyewe???
 
Kwanza hongera kwa hoja yako.ok twendelee, Ukisema maisha ya binadam ni script ambayo ilisha andikwaa so humans they have no future only God have.
pili kulingana na hoja yako iyo ya mtu kiwa mpya kila mwaka By physical body its okey hata biology inakubali. Lakin The mind is still the same , Humans we are the same, lakin memories ndo zina tutofautisha.
Pia am not sure that God pado anaumba watu kama ilivyo andikwa kwenye Vitabu vya Dini. kuumba ulimwengu sio kazi kubwa kazi kubwa ni kuweka sheria interm of enerygies na forces kwa huo ulimwengu ili uweze kujiendesha wenyewe. mwanamke kuweza kuzaa binadam mwinginw ni mfano mzuri hapa.
Time travel and memories.
pia inakubaliana na hoya yako. ukisafir kwenda future mnayoita nyie ( lakin ukiingiza dini tu inakuwa sio future tena but kuremember your past life)
kisafir kwenda miaka mi5 mbele utamkuta mwenzako sawa, Lakin memory ya ww ulie safir itakuwa fupi kuliko ulie mkuta coz umeruka maisha hapa kati kati .
lakin kitu kinacho tuumiza kichwa ni jee inawezekanaje ni rudi nyuma ni muuwe mama yangu akiwa bado mdogo alafu bado niwe na ishi?je nimetoka wapi ?
MATRIX?
Hiyo inaitwa "grandfather paradox" katika dhana ya time travel hii ndio hoja tatanishi inayoumiza kichwa na kui challenge time tavel

Japo kuna wanafizikia wamejaribu ku solve hili kinadharia lakini bado kiu ya swali hili haijakatika. Wapo waliodai kuwa ukirudi nyuma ya muda huna uwezo wa kubadili chochote

Wengine wakaenda mbali kua ukirudi nyuma ya wakati hauwi mtu kamili unakuwa copy kwakua bado una exist katika ulimwengu wa sasa hivyo hata ukirudi nyuma ya wakati huwezi kumuokoa ndugu yako aliyeteketea kwa ajari ha moto pale morogoro

Wapo waliodai kwamba back in time is impossible what can be possible is travelling to future. Lakini bado dhana hii nayo inaibua maswali mengi kwasababu ukiweza kwenda future mtakuwa wawili wewe wa sasa (ambaye umesafiri) na huyo wewe wa future (ambaye umemfata)

Sasa consider kua umeenda 2025 ulipofika huko future ukamuua kwa kumpiga risasi huyo wewe ( wa huko future)

Kisha ukarudi katika present hiyo inamaanisha utaishi siku yako ya kufa ni 2025 kwasababu maisha yako ya future ndio yalipoishia. Sasa siku hiyo uliyompiga huyo future risasi ikifika je hicho kitendo kinapotokea kutakuwa na watu wawili (wewe) kama identical twins?
 
Back
Top Bottom