Ukweli kuhusu maisha ya India

Naskia wanawake ni wachache sana kwao cjui kwel

Siyo kwamba wanawake ni wachache. Tatizo wahindi wana mfumo jike.

Mwanamke ndiye anaamua kuwa na nani na muda gani. Hali hii inawafanya wanaume "wanyonge" kukosa majike so wanaishia kumalizia hasira kwa kubaka na kunajisi watoto.
 
Kwa waarabu nao vip ubaguzi wanao kama wahindi au?
 
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah mwanangu natamani ningekua we we a see.......
 
Nilifika India pale New Delhi; yote tisa kumi nilishangaa kuona wahindi wanaoga na kujisaidia nje... katikati ya jiji.... jamaa ni maskini na pia wachafu by nature.

Bongo pamoja na njaa hizi kariakoo hata Tandare sijaona watu wakioga na kujisaisia live live.
 
India utajiri umeshikiliwa na serikali yaan serikali ndiyo yenye hela
 
Mbona wahindi weusi ni wengi sana huko kwao mkuu wanaweza fika hata 20%ya population nzima ya india

Wahindi weusi wapo India ya kusini na historia inasema wale ndio wenye Taifa lao na wale weupe ni Wapakistan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…