Na akija aje na namna ya kuiondoa!Kwa nijuavyo jamii forum hapakosi wabobezi ngoja waje
Ndiyo hivyo. Hiyo ni dini kama zilivyo imani za dini. Ni METAPHYSICAL. Na halina logic yoyote. Ingekuwa ipo kweli ni kwa nini itoke kwa wazazi ama watu wa karibu tu wakati maovu umewatendea watu mbali mbali?! Kwa nini ukikosa adabu kwa wengine usilaaniwe?! Hata hilo neno "baraka" ni upuuzi mtupu! Hakuna kitu kama hicho.! Na ndiyo maana hata ukisali kabla ya kula, yaani kukibaliki chakula, kama kina sumu itakuathiri tu na kama kina kipindupindu utaugua tu.kwa hiyo mkuu laana ni imani tu na sio suala halisi?
hahahaaa mkuu huamini katika laana wala baraka, hii ipo kwenye philosophy kama ulivyosema metaphysics, ina deal na mambo ya imani hasa tawi lake la theologyNdiyo hivyo. Hiyo ni dini kama zilivyo imani za dini. Ni METAPHYSICAL. Na halina logic yoyote. Ingekuwa ipo kweli ni kwa nini itoke kwa wazazi ama watu wa karibu tu wakati maovu umewatendea watu mbali mbali?! Kwa nini ukikosa adabu kwa wengine usilaaniwe?! Hata hilo neno "baraka" ni upuuzi mtupu! Hakuna kitu kama hicho.! Na ndiyo maana hata ukisali kabla ya kula, yaani kukibaliki chakula, kama kina sumu itakuathiri tu na kama kina kipindupindu utaugua tu.
revelation= ufunuo ni sahihi lakini naomba majibu ya hayo maswali japo umejibu hilo la sayansi vs laana,thanks but i need moreHapo ndipo utakapojua sayansi haina jibu la kila kitu. Sayansi sio ukweli wote. ukweli mwingine tunahitaji njia zingine (REVELATION).
sawa mkuu unamaanisha unaweza kujiondoa kwenye laana kwa uamuzi wako?aisee watu wanachelewa kuja mana topic nzito sana hii, ila mi nadhan laana huitwa laana baada ya mapokeo ya mhusika, ukiiamini hapo ndipo huitwa laana na akili yako kuanza kujitesa yenyewe and not otherwise.
i dont want to be a victim of this!! ila mimi nimeuliza ili tujadili wote kwa mapana mkuu, maana hii kitu ina tatanisha sanasubir ulaaniwe ndio utajua laana ipo.na uzr ukipata laana ww km ww huwezi kujijua ila wengine.hii ipo kiimani na nikwl ipo
you've the same dilemma!!! haya mambo sijui ni nini tu na nguvu yake inatoka kwa nani(wapi)Kwa mfano mtu anaposema anavunja chungu (analaani)familia nzima iteketee na inakuwa kweli.
Naomba kuelewesha mahusiano ya laana na watu kufa.