Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Aiseeee hatari sana.... sasa aliyekupata alikupiga sound ganiYani mitongozo ingine ni kujishushia heshima tu
Kuna boya mwingine nae nlimkuta kwenye ofisi moja eeh tumesalimiana ana Pete ya ndoa akasema anakuja kunihudumia kurudi kavua Pete kabaki na alama sijui Pete alivaa kabla ya uhuru..... Nilimuona bolizozo kweli mxyuuuu
Fanya mambo mkuu.. utakuwa umesaidia wale member wote wenye midomo yenye zege..kaa mkao wa kula nakumwagia mzigo
swissme
sasa kwanini usikubali ufichwe sehemu salama hahahahhahahaha ila alitisha nitajaribu hii nione response itakuwaje maana nimecheka sana aiseeekuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake
Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
wa uswazi hupati walaii tenaKILA UNAPONIUMIZA HUWA NAJIHUKUMU MWENYEWE,
HII INAONESHA JINSI GANI NNAKUPENDA,
KAMA ILIVYOKUWA VIGUMU KUMUUMIZA MAMA'ANGU,
BASI NDIO ILIVYOKUWA VIGUMU ZAIDI KULIDONDOSHA CHOZI LA MPENZI WANGU.
SO NIKIMSALITI MPENZI WANGU NAONA NAFSI YANGU ITANISUTA KWA KILE KIAPO CHA MUDA MREEEFU NLICHOJIWEKEA KWAMBA
" KAMA IKITOKEA NIMEMPATA MPENZI BASI DAIMA NITAMPENDA, NITAMUHESHIMU, NITAMLINDA , NITAMJALI NA KUMTHAMINI PIA"..
siwezi kukuahidi kuwa milele sintokufanya ulie, ila kama ikitokea ivyo, basi NAKUAHIDI kukufanya utabasamu kabla hata machozi hayajakauka mashavuni mwako...
MWENZAKO NAJUA KUPENDA SIJUI KUACHA, HIVO NAOMBA UNIRUHUSU NIKUPENDE MPAKA KUFA KWANGU.... I LOVE YOU
Ha ha ha try it at your own risk, imekaa kishamba mnooo itakukosesha papuchi mchana kweupeeesasa kwanini usikubali ufichwe sehemu salama hahahahhahahaha ila alitisha nitajaribu hii nione response itakuwaje maana nimecheka sana aiseee
Njia tu ya mkato, yani amazing flani hiviAiseeee hatari sana.... sasa aliyekupata alikupiga sound gani
Mkuu ni kweli kabisa!
Hata wao wanajisemea mambo ya kutongozana ya nini?
Akikuelewa tu kesho anakuja anapika na kupakua na nguo zinaanza kuhamishwa mara kajifanya kusahau mtandio mara brazier na hatimaye mkoba then anamaliza na begi
NOTE: usipokua makini na washenga wanaandaa wenyewe na mahali wanajilipia!
Very true chief.Ndio maana yake...
Ni ile hali najiweka im the Gold here so she gotta dig and find me by herself and make me interested in her. Mimi nita play part ya care and affection (using money at tyms) and that i'm a man of ambition, goal oriented etc. na sibabaishwi na petty things.
You make it in such a way she has to win me by any means. Hata nikimpa hela ni sabab nimemjali kibinadam never in a way i want it in exchange for sex. Akijishobokesha tu unamtafuna whilst repeating the process over and over again. Utamla utamuacha mwenyewe.
Sasa wewe jikute unakesha ukimtumia text za I love you, sijui i can't stop thinking about you and the like. Utaishia kupiga nyeto.tu maghettoni.
Nilitamani angekua pembeni nimpige Kofi kwenye upara wake kama sahani
Nyooo nani kasema?wa uswazi hupati walaii tena