Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Kunywa mma hasira ziishe..😂😂😂 nikutakie siku njema bro kiberenge.😡😠🤒
Kunywa mma hasira ziishe..😂😂😂 nikutakie siku njema bro kiberenge.😡😠🤒
Siku ishaharibika maana si kwa udada huo wa kulazimishana! Na kuanzia Leo nitakuita dada wa kulazimisha..! Nami nakutakia siku isiyoeleweka dada wa kulazimisha.Kunywa mma hasira ziishe..😂😂😂 nikutakie siku njema bro kiberenge.
Ha ha ha ha ha,, nimejikuta nacheka kwa sauti tu hapa, maana ngojera hizo ziliishia Miaka ya 99 .huko kurudi nyumayna2 hivi kwanini huwa hunipendi..? Unajua fika kabisa nakupendea hekima yako,uzuri na upole wako! Wayajua yote hayo lkn ndo kwanza umekuwa kiwembe Cha kuukata mapenzi yangu kwako!.. kila nikijitahidi kukusogeza karibu nami ndo nawe wazidi kuwa mkaidi,nimekosea wapi laaziz wa huba..? Nikupe nini unigande Kama ruba..?
Nafsi yangu imetua kwako mpk naisifu kazi yake yeye kwa kukuumba kiumbe kizuri Kama wewe!.. fanya kunikubalia tuinjoi mapenzi wa huba,tuunganishe mioyo yetu kwa damu isiyo vumba,sema nami laaziz penzi lisijeota mizizi michungu mmoja akalala chini ya uvungu!.. nihurumie mwenzako yna2..[emoji6]
😂😂 Mkuu sisi ndo mizimu ya miaka hiyo bado tupotupo mizimu.🤣Ha ha ha ha ha,, nimejikuta nacheka kwa sauti tu hapa, maana ngojera hizo ziliishia Miaka ya 99 .huko kurudi nyuma
Haya bhana[emoji23][emoji23] Mkuu sisi ndo mizimu ya miaka hiyo bado tupotupo mizimu.[emoji1787]
[emoji3][emoji3]anywe mmaKunywa mma hasira ziishe..[emoji23][emoji23][emoji23] nikutakie siku njema bro kiberenge.
Upendo wa kisasa. Ushauri: tofautisha umalaya ya upendo, itakusaidiaMwanaume humtamani mwanamke kwanza kabla hajampenda, na atampenda kutokana na matokeo atakayoyaona kutoka kwake ambapo inaweza kuwa kwenye kunyanduana au upendo/ukarimu wa mwanamke.
Mwanamke unaweza ukawa unashape au matako makubwa lakini kama ni mzembe kitandani hata iweje mwanaume kama hajaridhika na wewe utaonekana kama kituko tu.
Mwali, naona leo kuna mtu ameidukua account yako.Kuridhika kupi unakuongelea.... Maana Kila bao Mwamamume anakojoa. Kuna zaidi ya hapo??😂😂😂
Mara Moja Moja.... Kushtua ni MUHIMU🤣🤣Mwali, naona leo kuna mtu ameidukua account yako.
Maana sijazowea kukuona hivi...🤨🤨
Wanaume tunaanza kutamani kwanzayna2 hivi kwanini huwa hunipendi..? Unajua fika kabisa nakupendea hekima yako,uzuri na upole wako! Wayajua yote hayo lkn ndo kwanza umekuwa kiwembe Cha kuukata mapenzi yangu kwako!.. kila nikijitahidi kukusogeza karibu nami ndo nawe wazidi kuwa mkaidi,nimekosea wapi laaziz wa huba..? Nikupe nini unigande Kama ruba..?
Nafsi yangu imetua kwako mpk naisifu kazi yake yeye kwa kukuumba kiumbe kizuri Kama wewe!.. fanya kunikubalia tuinjoi mapenzi wa huba,tuunganishe mioyo yetu kwa damu isiyo vumba,sema nami laaziz penzi lisijeota mizizi michungu mmoja akalala chini ya uvungu!.. nihurumie mwenzako yna2..[emoji6]
Huwezi jua nimepitia mangapi hadi kufikia kububujika hayo maneno..😅Wanaume tunaanza kutamani kwanza
Ana tako
Chuchu zimesimama au hadi apige deki
Shape je
Sura ipo
Naona umeshaanza kupenda kabla yakutamani [emoji3][emoji3]
Tamani kwanza mkuu
Mwanaume humtamani mwanamke kwanza kabla hajampenda, na atampenda kutokana na matokeo atakayoyaona kutoka kwake ambapo inaweza kuwa kwenye kunyanduana au upendo/ukarimu wa mwanamke.
Mwanamke unaweza ukawa unashape au matako makubwa lakini kama ni mzembe kitandani hata iweje mwanaume kama hajaridhika na wewe utaonekana kama kituko tu.
Ndo maana mshkaji alikuita Musa sambongo kwenye story yake ya chizika 😀😂Huwezi jua nimepitia mangapi hadi kufikia kububujika hayo maneno..😅
Nalo neno..Ndo maana mshkaji alikuita Musa sambongo kwenye story yake ya chizika 😀😂
Unatafuta ugomvi na Infantry Soldier kila siku anamtagyna2 hivi kwanini huwa hunipendi..? Unajua fika kabisa nakupendea hekima yako,uzuri na upole wako! Wayajua yote hayo lkn ndo kwanza umekuwa kiwembe Cha kuukata mapenzi yangu kwako!.. kila nikijitahidi kukusogeza karibu nami ndo nawe wazidi kuwa mkaidi,nimekosea wapi laaziz wa huba..? Nikupe nini unigande Kama ruba..?
Nafsi yangu imetua kwako mpk naisifu kazi yake yeye kwa kukuumba kiumbe kizuri Kama wewe!.. fanya kunikubalia tuinjoi mapenzi wa huba,tuunganishe mioyo yetu kwa damu isiyo vumba,sema nami laaziz penzi lisijeota mizizi michungu mmoja akalala chini ya uvungu!.. nihurumie mwenzako yna2..[emoji6]
Yna2 amenikataza nisim-tag. Nimeachana naye siku hiziUnatafuta ugomvi na Infantry Soldier kila siku anamtag
Ndio kumpendi tenaYna2 amenikataza nisim-tag. Nimeachana naye siku hizi