thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Mwanaume humtamani mwanamke kwanza kabla hajampenda, na atampenda kutokana na matokeo atakayoyaona kutoka kwake ambapo inaweza kuwa kwenye kunyanduana au upendo/ukarimu wa mwanamke.
Mwanamke unaweza ukawa unashape au matako makubwa lakini kama ni mzembe kitandani hata iweje mwanaume kama hajaridhika na wewe utaonekana kama kituko tu.
Mwanamke unaweza ukawa unashape au matako makubwa lakini kama ni mzembe kitandani hata iweje mwanaume kama hajaridhika na wewe utaonekana kama kituko tu.