BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Lodge zimewekwa za kazi gani? Kama hakuna sehemu ya kufikia, tutafikia hotel... Hela yenyewe iko wapi ya kujanga nyumba porini kisa kufikia..hiyo pesa si bora uweke kitega uchumi kikuzarishie maana kuna leo na kesho huwezi jua itakuaje?
Mambo ya kujenga ukweni sijui nyumbani ni jukumu la wazazi.. Watoto ni kusaidia tu ikiwezekana lakini sio lazima
mwaJ ninachompendea Mwita Maranya anajua fika kuwa kapewa limbwata, lakini hiyo haimsumbiBujibuji ndio maana unaachwa kwenye mataa kila kukicha kwa misimamo yako iliyopitwa na wakati! Mwenzio Mwita Maranya kajenga kwetu tena kajenga ghorofa! Sasa hivi ndio kaanza kujenga kibanda kwao Tarime. Lol!
Hahahah, hivi mlinunua mizigo mingapi ya nyasi kwenye nyumba ya Taaarime???
Hapa unamwambia mwanamke au mwanaume?
Hivi kwa nini ujenge kwa wakwe?
Ni ukosefu wa viwanja?
Nguvu ya limbwata?
Upungu wa fikra?
Na unakuta mtu ana jenga kwa wake heti kisa alipewa kiwanja alaf mwisho wa siku ana fukuzwa!
Cha kushangaza zaidi unakuta mtu kama huyu kwao hajajenga na nyumba ina vuja kabisa!
Kama ulipewa kiwanja na mkwe weka nyumba za kupangisha baada ya kumaliza kujenga kwenu!
Hivi kweli umeoana na mwenza, mmezaa watoto, kwao wana nyumba ya Tembe, afu wee kipato kinaruhusu, kwenye utashindwa jenga nyumba bora zaidi ya ile?
Hata watoto wako wakitembelea kwa bibi na babu watapata raha?
Kwani thamani ya mme/mke ni nini? Thamani yao ni nyumba?
Kwa hiyo sie kwetu kuna mansion aafu kwa mme kuna tembe? Kweli? Kisa naogopa siku tukiachana sitaibeba nyumba? Hata tukiachana naamini kuna wakati aliwahi nifanya nifurahi, kwa hilo anastahili nyumba kwa wazazi wake kama nna uwezo huo.
akienda kwao atafikia wapi yeye na familia yake au ndo kujibana na wazazi kwenye kibanda kimoja.
Hapa unamwambia mwanamke au mwanaume?
Hivi kwa nini ujenge kwa wakwe?
Ni ukosefu wa viwanja?
Nguvu ya limbwata?
Upungu wa fikra?
Na unakuta mtu ana jenga kwa wake heti kisa alipewa kiwanja alaf mwisho wa siku ana fukuzwa!
Cha kushangaza zaidi unakuta mtu kama huyu kwao hajajenga na nyumba ina vuja kabisa!
Kama ulipewa kiwanja na mkwe weka nyumba za kupangisha baada ya kumaliza kujenga kwenu!
Hivi kweli umeoana na mwenza, mmezaa watoto, kwao wana nyumba ya Tembe, afu wee kipato kinaruhusu, kwenye utashindwa jenga nyumba bora zaidi ya ile?
Hata watoto wako wakitembelea kwa bibi na babu watapata raha?
Kwani thamani ya mme/mke ni nini? Thamani yao ni nyumba?
Kwa hiyo sie kwetu kuna mansion aafu kwa mme kuna tembe? Kweli? Kisa naogopa siku tukiachana sitaibeba nyumba? Hata tukiachana naamini kuna wakati aliwahi nifanya nifurahi, kwa hilo anastahili nyumba kwa wazazi wake kama nna uwezo huo.
Kwani kufikia guest house/hostel dhambi? Au utamaduni umewadunisha watanzania?
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
kabila lako nn?mmachame umemuonea ktk hili ndugu Yona edson
Kama na wewe hutawajengea wazazi wako hapo sawa, ila huwezi kujenga kwenu kisha upinge kusaidia kujenga kwa wazazi wa mkeo, na kwao huyo ni mtoto wao.
Japo hilo linategemea vigezo vingi sana ikiwemo uwezo wa wakwe zako na ndugu wa mkeo. Kwa familia zetu wengi wetu wazazi hawajaweza kuwa na uwezo wa kujenga nyumba nzuri ndio maana mtu mambo yakikaa sawa unajitahidi kuwajengea nyumba nzuri wazazi wako, sasa kama kuna umuhimu wa kujenga kwenu kwa nini isiwe na umuhimu kwa wazazi wa mkeo Bujibuji. Na kama la kuwasaidia kujenga linakua gumu, utawasaidia katika mambo mengine kweli?
Samaritan, tutawajengea wazazi mambo yakiwa sawa. Hapa ninaowaongelea, ni kama Mwita Maranya, mjini hana nyumba anaishi nyumba ya kupanga lakini kaenda kujenga ukweni, kwa wazazi wa mwaJ
Unajua mkuu Bujibuji, kodi ya mwaka hapa mjini unajenga nyumba ya kueleweka huko tunakotoka.
Binafsi kama naweza kupanga mjini na wazazi wangu hawaishi sehem nzuri siwezi kabisa kuwa comfortable hata kama naishi Oysterbay/Masaki.
Mwita Maranya anachotaka ni amani na furaha kwenye ndoa yake, unadhani mwaJ akiwa na furaha ya kuona wazazi wake wanaishi kwenye nyumba nzuri hajisikii vizuri? na hilo haliongezi uimara na upendo kwenye ndoa?
Kuna baraka zake unapowakumbuka wazazi kwa kuwapatia sehem nzuri ya kuishi hasa kama uwezo unaruhusu, usiseme kujenga kwa wakwe ni kama kujenga kwenye hifadhi ya barabara mkuu.
Bujibuji ndio maana unaachwa kwenye mataa kila kukicha kwa misimamo yako iliyopitwa na wakati! Mwenzio Mwita Maranya kajenga kwetu tena kajenga ghorofa! Sasa hivi ndio kaanza kujenga kibanda kwao Tarime. Lol!