Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

Hiyo ni kweli mkuu!wala wanaume tusiendekeze ujinga huo ingawa tanzania kuna waziri kwa sasa kajenga ukweni huku kwao hakuna hata choo!chezea mchaga weye
 
Hiyo ni kweli mkuu!wala wanaume tusiendekeze ujinga huo ingawa tanzania kuna waziri kwa sasa kajenga ukweni huku kwao hakuna hata choo!chezea mchaga weye
BONGOLALA mademu wa kichagga na kimakonde wepi noma?
Nasikia ukioa Mmakonde, ukaenda Mtwara kikazi, basi imekula kwako, kurudi kwenu ni sawa na embe lililoanguka ulirudishe mtini.
 
Last edited by a moderator:
yaani unachokisema kuna mtu ametoka kutusimulia sasa hivi kuwa alianza kujenga ukweni nyumba ikafika kwenye linta ndoa ikaingia mdudu .Mama akamwambia mume we F**la kweli unaenda kujenga ukweni!
KYALOSANGI bora ukajenge kijijini kwa babu yako kuliko kujenga ukweni.
Hata mwaJ akinikubali leo, akisema tu nikajenge kwao, bora aendelee na Mwita Maranya wake.
Ukweni nitajenga tayari nikiwa na kwangu
 
Last edited by a moderator:
@kyolosangi bora ukajenge kijijini kwa babu yako kuliko kujenga ukweni.
Hata mwaJ akinikubali leo, akisema tu nikajenge kwao, bora aendelee na Mwita Maranya wake.
Ukweni nitajenga tayari nikiwa na kwangu
Bujibuji ndio maana unaachwa kwenye mataa kila kukicha kwa misimamo yako iliyopitwa na wakati! Mwenzio Mwita Maranya kajenga kwetu tena kajenga ghorofa! Sasa hivi ndio kaanza kujenga kibanda kwao Tarime. Lol!
 
Last edited by a moderator:
ni upendo wa dhati tu unapomthamini mwenzi wako hakuna kitu kinachoshindikana maadam unawiwa na una uwezo wa kufanya hivyo sioni tatizo kwa sababu hushurutishwi wala kushikiwa bastola na mtu bali ni hiyari yako binafsi.
 
tafuteni kiwanja mjenge haifai kujenga upande wa mke wala upande wa mume.....
 
akienda kwao atafikia wapi yeye na familia yake au ndo kujibana na wazazi kwenye kibanda kimoja.

Lodge zimewekwa za kazi gani? Kama hakuna sehemu ya kufikia, tutafikia hotel... Hela yenyewe iko wapi ya kujanga nyumba porini kisa kufikia..hiyo pesa si bora uweke kitega uchumi kikuzarishie maana kuna leo na kesho huwezi jua itakuaje?

Mambo ya kujenga ukweni sijui nyumbani ni jukumu la wazazi.. Watoto ni kusaidia tu ikiwezekana lakini sio lazima
 
Bujibuji ndio maana unaachwa kwenye mataa kila kukicha kwa misimamo yako iliyopitwa na wakati! Mwenzio Mwita Maranya kajenga kwetu tena kajenga ghorofa! Sasa hivi ndio kaanza kujenga kibanda kwao Tarime. Lol!

Hahahah, hivi mlinunua mizigo mingapi ya nyasi kwenye nyumba ya Taaarime???
 
Last edited by a moderator:
Lodge zimewekwa za kazi gani? Kama hakuna sehemu ya kufikia, tutafikia hotel... Hela yenyewe iko wapi ya kujanga nyumba porini kisa kufikia..hiyo pesa si bora uweke kitega uchumi kikuzarishie maana kuna leo na kesho huwezi jua itakuaje?

Mambo ya kujenga ukweni sijui nyumbani ni jukumu la wazazi.. Watoto ni kusaidia tu ikiwezekana lakini sio lazima

thubutu,mbona tukimpeleka marehemu kwao tukikuta nyumba za ajabu tunamlaumu marehemu hakujenga kwao wakati alikuwa na pesa,kwanini tusiwaseme wazazi kwanini hawakujenga sio wazazi wote wana uwezo wa kujenga nyumba nzuri ndo maana nguvu zao wanawekeza ktk elimu ya watoto wao ili wawakomboe kimaisha,kama una akili timamu huwezi kuwatelekeza wazazi wako kijijini kisa hawakujijenga kabla hawajazeeka hizi ni porojo tu ukute ww umeshajenga huko unatuzuga hapa.
 
mh!hivi y ujenge ukweni bana?labda km nyie mshajenga na mna uwezo wa kujenga huk kwa wazaz unless sioni umhim
 
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
Mi thijaelewa, unamzungumzia mwanamke kujenga ukweni au mwanaume kujenga ukweni? Maana wote, mke na mume wana wakwe...
 
  • Thanks
Reactions: GDM
Hapa unamwambia mwanamke au mwanaume?

Hivi kwa nini ujenge kwa wakwe?
Ni ukosefu wa viwanja?
Nguvu ya limbwata?
Upungu wa fikra?

Na unakuta mtu ana jenga kwa wake heti kisa alipewa kiwanja alaf mwisho wa siku ana fukuzwa!
Cha kushangaza zaidi unakuta mtu kama huyu kwao hajajenga na nyumba ina vuja kabisa!

Kama ulipewa kiwanja na mkwe weka nyumba za kupangisha baada ya kumaliza kujenga kwenu!
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
 
akienda kwao atafikia wapi yeye na familia yake au ndo kujibana na wazazi kwenye kibanda kimoja.

kwani ukijibana kuna tatizo gani?
Hizo nyumba mnazojenga huko watoto wanaishia kudhulumiwa tu
heri mwanzishe makazi yenu hukoooo
 
Back
Top Bottom