Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege

Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,077
Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege:
1. Kuhisi nyege sio dhambi wala si jambo baya.

2. Umepata baraka kama umeoa au umeolewa na mtu anayekuwa na nyege nyingi kwa ajili yako tu.

3. Moja ya vitu vinavyoua hamu ya kushiriki tendo la ndoa ni ugomvi wa mara kwa mara na wa muda mrefu.

4. Sio wanaume tu huwa na nyege, hata wanawake pia hujikuta na hamu kali. Wengine wakati wa ovulation (siku za hatari) huwa moto sana, mwili wao unataka tu kuguswa, na wanakauka kabisa.

5. Wanaume wengi huamka asubuhi wakiwa tayari kabisa kwa shughuli. Mke mpenzi, usipuuzie hiyo mshale wa asubuhi.

6. Wakati mwingine nyege inaweza kuwa kali mpaka mtu anashindwa kufanya mambo yake vizuri. Hapo ndo ndoa inasaidia kutoa mzigo.

7. Ndoa za mbali ni changamoto, maana nyege ikikupanda mwenzako yuko mbali. Hapo mnapigiana simu mnajichokoza, mnaflirt hadi mkikutana, mnatulizana kisawasawa.

8. Inaumiza sana ukiwa na nyege halafu mpenzi wako anakukataa. Ni aina mbaya sana ya kukataliwa.

9. Baadhi ya wanawake huwa na nyege kali sana wanapokaribia menopause. Kipindi hiki huwa wanajiamini sana kimapenzi. Furahia huo moto kabla haujatulia.

10. Hamu ya kushiriki tendo la ndoa (nyege) ni kumbusho kuwa tendo la ndoa halikuumbwa kwa ajili ya kupata watoto tu, bali pia ni tendo la mapenzi.

11. Unaweza kuwa Mkristo mzuri lakini bado ukawa mtu mwenye nyege, mwenye hisia kali za kimapenzi. Usijifiche au kuona aibu juu ya hisia zako.

12. Suluhisho la nyege kwenye ndoa si kuipuuzia, bali kuikubali na kuituliza ipasavyo.

13. Wapenzi wenye nyege lakini hawajashughulikiana mara kwa mara, huwa na hasira za ajabu na hukasirika kirahisi.

14. Baadhi ya njia za uzazi wa mpango huathiri kiwango cha nyege kwa wanawake.

15. Nyege pia inategemea namna unavyomuangalia mwenzi wako. Ukianza kumdharau au kumchukia, nyege nayo hupungua.

16. Ukweli ni huu: kuwa na nyege sio tiketi ya kuchukua simu na kuanza kuchat au kupigia watu wengine walioko nje ya ndoa/mahusiano.

17. Ukianza kuzeeka unaweza kushawishika kuanza kutafuta vijana wa kuchezea nyege zako. Acha mchezo huo, si mchezo huo.

18. Ikiwa huwezi kucontrol nyege zako, basi nyege zako zitakukontrol – mwisho wa siku ni tamaa chafu tu.

19. Maana nyingine ya neno “mwenza wa ndoa” ni yule anayehudumia nyege zangu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1753335419989.jpg
    FB_IMG_1753335419989.jpg
    34.2 KB · Views: 44

Nyege is the force of life,,
No nyege no life
 
Ok
 
Anyway ila nawakumbusha kuwa mchakato ulinajisiwa.
 
Back
Top Bottom