we malizia kucheka, halaf kama jinsia yako haiko katika katiba ya pharmacy au at least maternity ward, utatakiwa kuikimbia sredi haraka iwezekanavyo kabla hatujaripoti kwa mod. asante kwa ushirikiano
pia tunawashkuru mod kwa kutambua umuhimu wa hizi tiba na kuamua kuziweka huku JF dokta. hivi hakuna mod wa hii jinsia tunayotibu? just kyurias. hakyanani ukipata zali la kumtibu mod haupigwi ban hata ukimtukana slaa na kikwete at the same thread.
duuhhh
naona bado tunashabikia Klorokwin
kwa kweli
mmmhhh
sasas itaanza kutibu magonjwa sugu kama
tukiendelea kuipenda hivi ...
mimi penda wewe klorokwin.
hahah lol