Ukweli kuhusu kile kinachoitwa ongezeko la vibamia

Ukweli kuhusu kile kinachoitwa ongezeko la vibamia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,076
Reaction score
831,698
Kibamia ni msemo maarufu unaomaanisha uume mdogo.Ni tatizo linalokuja kwa kasi sambamba na ukosefu wa nguvu za kiume kwenye mada moja kuna mtu akauliza mbona mwanzoni hakukuwa na vibamia? Ukweli ni kwamba tatizo la vibamia sio kubwa kama linavyokuzwa, tatizo lipo ila sio kihivyo na kuna jambo lingine kabisa linalosababisha vijana wengi waonekane vibamia.

Zamani kabla dunia haijavaa bikini, kulikuwa kuna kuheshimiana kukubwa kwenye umri hasa linapokuja suala zima la mahusiano ilikuwa ni jambo lisilowezekana kabisa kukuta binti wa miaka 18 anadate na mwanaume wa miaka 40 lingine ni kwamba mabinti wengi walijitunza na kuja kuanza mahusiano ukubwani, na hawakuwa wanachojoa chupi zao hovyo hovyo WALIJITUNZA NA KUJIHESHIMU SANA.

Siku hizi binti hata maungo yake hayajakomaa, tayari ameshaharibiwa na anaaza mahusiano na mtu aliyemzidi umri kwa mbali sana mtoto wa kike kama huyu aliyeanza mahusiano kwenye umri wa miaka 16 akifikisha 23 anakuwa tayari ni mzoefu aliyebobea huku akiwa na maungo makubwa kuliko saizi yake usoni ni mdogo lakini huko ndani mmh mwanamke kama huyu akidate na kijana wa miaka 25-30+ ni majanga. Lazima jamaa aonekane kibamia kumbe wala hana hilo tatizo ila kakutana na oversize XXL.

Kingine ni matumizi ya dildos, mabinti ambao wanachungwa sana ama wale ambao hawataki kujihusisha na wanaume mapema huamua kutumia vinyagongono kujitosheleza huyu ukija kukutana naye hapo baadae lazima uonekane una upungufu wa nguvu za kiume au una kibamia., kwakuwa size na nguvu ya kinyagongono ni tofauti kabisa na nguvu ya binadamu.

Kwahiyo wapendwa mnapowalaumu wanaume kuwa wana vibamia mkumbuke na hayo ya kwenu pia.Najua kuna tatizo la punyeto ambalo nalo linawasumbua na kuwaathiri vijana wengi lakini kiuhalisia vibamia ni vichache shida ni size zinazofanya colabo.

NB: Mimi sina kibamia
 
Mkuu unakujaga na takwimu za ukweli sana yaani kwa jinsi ulivyo fikiria hilo halina kificho,fikiria kijana umri miaka 20 ana chukua jimama miaka 35 lina watoto 4 yaan huko chini ni bwawa tu hapo lazima uonekane una kibamia tu
 
Hata Mie Nimefanya Utafiti Wangu Baada Yakulala Na Wanawake Tofauti Tofauti Nimegundua Tatzo Liko Kwa Wanawake Tu, Kuna Wanawake Mnato Na Kuna Wanawake Mabwawa,tena Mwanamke Akiwa Na Bwawa Huwezi Hata Kupga Bao 2 Kwakuwa Unakuwa Unaumia Lakini Mwanamke Akiwa Na Mnato Unaenda Mpaka Bao 5

MWISHO : PONGEZI KWA WANAWAKE AMBAO HAMJATUMIKA HOVYO HOVYO
 
HILI JAMBO NILILIONA MAPEMA SANA MKUU.VIBAMIA SIO VINGI MTAANI ILA MAUMBILE YA HAWA WENZETU YAMEKUWA MAKUBWA MNOO NDO MANA VIBAMIA VINAONGEZEKA.
Na wao kuficha aibu wanajificha kwenye kivuli cha vibamia kumbe wao ndo tatizo
Hakuna Mwanaume Kibamia Hata Siku 1 Ila Wenzetu Wa Upande Wa Pili Ndo Shida Ndo Maana Unashauliwa Kabla Hujamuoa Onja Kwanza Kujua Yaliyomo Yamo Ili Usijekuuziwa Mbuzi Kwenye Gunia
 
Zaidi ni kwamba kwa kuwa vyuma vimekaza na wanaume wamepunguza frequency za kuhonga honga, basi mabint wanatumia sababu hiyo pale wanapobwagwa kwa kutaka kupiga mizinga kwa kuwaita vibamia...
 
What a way to start your week....! mshana jr ku-date sijui ila kuoa zamani ndio walikuwa wanaongoza kuoa watoto. Babu kuoa mke mdogo tena mdogo kweli kweli ilikuwa ni kawaida sana.
Yeah walikuwa wanaoa moja kwa moja Kwahiyo shida haikuwa kubwa... Leo hii binti wa form unakuta tayari keshadate na wanaume the least 3.... Kinachowaharibu siku hizi ni mafiga matatu... Hii formula ipo sana vyuoni... Kuna bwana wa ku assist cash, kuna mwingine masomo, halafu kuna wa starehe na mapenzi, hawa wote wanahudumiwa na wana size tofauti
 
Hata Mie Nimefanya Utafiti Wangu Baada Yakulala Na Wanawake Tofauti Tofauti Nimegundua Tatzo Liko Kwa Wanawake Tu, Kuna Wanawake Mnato Na Kuna Wanawake Mabwawa,tena Mwanamke Akiwa Na Bwawa Huwezi Hata Kupga Bao 2 Kwakuwa Unakuwa Unaumia Lakini Mwanamke Akiwa Na Mnato Unaenda Mpaka Bao 5

MWISHO : PONGEZI KWA WANAWAKE AMBAO HAMJATUMIKA HOVYO HOVYO
Hii ni kweli (dogo mmoja chuo humanities alikuwa na bwawa moja hatari kumbe akikuwa adicted na madole, nlitafuta mpya nikawa naonekana nina bonge la
 
Pia hili la vibamia linakuzwa sana.napata hofu inawezekana ni tangazo la biashara ili watu warefushe maumbile yao vilevile la upungufu wa nguvu linachagizwa na suala la kibiashara.ingawa haya yote yapo lakini lakini sio sana tatizo lipo kwa wanaume kama inavyoaminishwa.

NB:sina kibamia wala upungufu wa nguvu.

BTW:wanawake wa siku hizi mmebarikiwa sana huko chini ndio maana jamaa wengi wanawatandika mara paaap tumekusoma
 
Yeah walikuwa wanaoa moja kwa moja Kwahiyo shida haikuwa kubwa... Leo hii binti wa form unakuta tayari keshadate na wanaume the least 3.... Kinachowaharibu siku hizi ni mafiga matatu... Hii formula ipo sana vyuoni... Kuna bwana wa ku assist cash, kuna mwingine masomo, halafu kuna wa starehe na mapenzi, hawa wote wanahudumiwa na wana size tofauti
Duh kazi ipo!
 
Nawashangaa mkiitwa vibamia mnavyoumia kwanini msijikubali??? Mpo kama ke wenye flat screen akisikia chura inavyosifika huyo anaenda kununua vigodoro au madawa nae apate chura

Ukiona maumbile madogo unaenda kuyaongeza na hapo ndo mwanzo wa tatizo zamani mlitucheka na sie kujichubua au kujiongezea makalio kwa kusema tuna akili ndogo saiv hatuchekani

Mshana si kwamba wanaume 25-30 wana vibamia mwanaume akishabalehe ukubwa wa umbile lake inategemea na genes zake kuna wenye 40 na wana vidogo au wastani wenye 23 ana hogo la maana

Kuzaa si mwanzo wa kuwa na bwawa kwani zamani hawakuzaa??? Aina yetu ya maisha kwa sasa inachangia kuleta mabadiliko makubwa katika miili yetu km dildos urembo ulopitiliza nasikia na njia za uzazi wa mpango nazo zinaharibu mfumo wa kiasili ukeni vyakula vya viwandani navyo si salama sana, tabia za kubadilisha wanaume ktk umri mdogo nayo inapanua njia, utoaji mimba tena mara kwa mara inaharibu njia

Kwanza vibamia ni vitamu mno kuliko hiyo migobole nshasema sana humu kuhusu utamu wa bamia( sio vile vyenye unyafuzi maana kuna watu hawanielewi hapa) bamia inayozungumzwa inajulikana sana tu

Kwa wanawake ukitoka leba fanyeni zoezi la kegel mara kwa mara kwa muda mrefu hata km hujazaa lkn unaona njia yako imeshatanuka na kulegea hili zoezi lina siri kubwa ya kurudisha maumbile ya kike uimara wa misuli na mbano wake
 
Back
Top Bottom