Ukweli Kuhusu Ibrahim Lipumba.

Ukweli Kuhusu Ibrahim Lipumba.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Kuna mengi yamesemwa kumhusu Mwenyekiti wa CUF Mh. Ibrahim Lipumba kutokana na safari yake ya Marekani. Ukweli ni Kwama, Dr. Lipumba alituma maombi kuhudhuria National Endowment For Democracy Jjini Washington DC. Hii ilikuwa ni Luncheon Presentation kuhusu democrasia Tanzania. Mh. Lipumba alitaka kuzungumzia maendeleo ya Tanznia tangu uhuru. Kwa hiyo mimi sioni hiyo mambo ya UN na sherehe kubwa ambayo watanzania na vyombo vya habari vimezusha. Dr. Lipumba alipewa kwa dakika 30 TU yeye kapitiliza kwa lisaa lizima..... Sasa uzushi sijui wachumi 500 , Mchumi aliyebobea, Kuishauri UN........!!!.Kupokewa kwa mbwembwe kote nilidhania ilikuwa na mengine lakini siyo hii presentation yake. Hii ndio video ya Lipumba na Document nzima. Kazi kwenu mchambue pumba na mchele....Lipumba Amezungumzia History......sasa muone Watanzania walivyo tupu kichwani kwa kuzusha.

My Take mungu wa CCM-B alienda kumponda Nkapa na Kumwamgia mkuu wa CCM-A misifa. Sikiza

[video=vimeo;34781996]http://vimeo.com/34781996[/video]

Ukitaka Document Download hapa!

http://www.ned.org/docs/IbrahimLipumba.pdf
 
What message are you trying to send? You know the country is full of lazy people, just be with them! Otherwise bado bongo tunahitaji safisha safisha bongo ya mtu!!
 
Kuna mengi yamesemwa kumhusu Mwenyekiti wa CUF Mh. Ibrahim Lipumba kutokana na safari yake ya Marekani. Ukweli ni Kwama, Dr. Lipumba alituma maombi kuhudhuria National Endowment For Democracy Jjini Washington DC. Hii ilikuwa ni Luncheon Presentation kuhusu democrasia Tanzania. Mh. Lipumba alitaka kuzungumzia maendeleo ya Tanznia tangu uhuru. Kwa hiyo mimi sioni hiyo mambo ya UN na sherehe kubwa ambayo watanzania na vyombo vya habari vimezusha. Dr. Lipumba aliongea kwa dakika 30 TU..... Sasa uzushi sijui wachumi 500 , Mchumi aliyebobea, Kuishauri UN........!!!.Kupokewa kwa mbwembwe kote nilidhania ilikuwa na mengine lakini siyo hii presentation yake. Hii ndio video ya Lipumba na Document nzima. Kazi kwenu mchambue pumba na mchele....Lipumba Amezungumzia History......sasa muone Watanzania walivyo tupu kichwani kwa kuzusha.

Kuna tetesi hapa mujini kwamba kideo cha mheshimiwa Adam Malima iko mitaani. Gazeti fulani maarufu imenyaka mengi sana na mazito baada ya kulipa Millioni 50. Kwa hiyo kaeni mkao wa kula......

[video=vimeo;34781996]http://vimeo.com/34781996[/video]

Ukitaka Document Download hapa!

Fellows | National Endowment for Democracy

Mbona kama una thread mbili zote umezichomeka humu pamoja? ya Malima inapaswa ijitegemee na ya huyu Mungu wa CUF nayo ijitegemee.
 
Waandishi wetu sii wafuatiliaji wa mambo,wangeweza kumuuliza hili jana alipozungumza nao kisha wana CUF wangejua kuwa juzi wamepoteza muda wao na kujitesa bure juani
 
kwa wenyeji wa Bukoba mtakumbuka zama hizo za 'mbunge wetu kaongea redioni...' Utamaduni huu wa kupongeza speech zisizo na kichwa wala miguu ni kansa inayotumaliza watanzania.
Nampenda sana Kibaki...maneno machache,kiswahili kibovu lakini point nzito! Hebu ona moja ya maneno yake:
.'....siku itafika,utapiga kura na utaenda nyumbani kwako na maisha yataendelea...sawa jamani? Na hiyo makelele na fitina ya kitu gani? Fanya kazi bwana!'
 
MKUU SI UNAWAJUA WALA HALWA NA WACHEZA BAO MISIKITINI WANAVYODANGANYANA???

UMESAHAU KUNA MWENZAO ALIKUWA ANAWAAMBIA KULIPA KODI YA VAT NI MATOKEO YA MFUMO KRISTO NA NENO VAT NI KIFUPISHO CHA VATICAN?? THEN WAKAWA WANASEMA Takbiiiiiiiiir --- Allahuwakbar

KWA KIFUPI HII JAMII YA WAFUASI WA CCM B ITAENDELEA KUCHELEWESHA SANA MAENDELEO YA TANZANIA COZ NI WATU WA KUDANGANYANA BILA KUULIZA WALA KUFANYA UTAFITI WOWOTE.
 
to add, we have Tanzanians like Lipumba in every corner of the world hadi China, maybe its because hatujui au tunapoliticize everything kiasi sasa cha ku-rank bila vigezo

We have young boys and girsl who might have bigger roles in the global platforms lakini hata siku moja hukuti mavuvuzela mitaani

Unless mapokezi yalikua ni namna ya kuonyesha KAFU is still alive, na kama hiyo ilikua nia, ni kweli KAFU ipo... maana walitukosesha ndege siku ile kwa kufunga barabarani
 
Kwahiyo ni Lipumba again...na pumba zake.

Jamaa katpiga changa la macho. Sasa sijui atajitetea kwamba alienda UN ya wapi. Mtu kapewa dakika 30, yeye kapitiliza lisaa na kuaribu utaratimu mzima. Kweli wabongo wazima. Lipumba hoyeeeee.... CCM B hoyeeee

Lishakufa hilo chama
 
Huu uzembe wa kusoma na kufuatilia mambo utatufikisha kubaya zaidi. So far, mtu kakaa miezi yote hiyo huko-kama mwenyekiti wa chama mojawapo kikubwa cha upinzani nchini, lakin WATU HAWAJAFUATILIA KWA KINA ALIKUWA ANAFANYA NINI, wanakimbia tu kwenda kumpokea kwa mbwembwe na hadithi za UN!!!!!
 
Back
Top Bottom