DAUDI S KIPANDE
Member
- Aug 17, 2017
- 45
- 18
Wadau je kuna ukweli kwamba kwa wale wa second year wanapoenda ni lazima wakapange???????
Tafuta wakukubeba bro mbona madogo shazi, daka kichwa kimoja muelewane tuWadau je kuna ukweli kwamba kwa wale wa second year wanapoenda ni lazima wakapange???????
Zilimalizika mapema sana ila bado hazitoshi ingawa zitapunguza tatizo kwa asilimia fulaniZile nyumba za magu mumezimalizaa????