Ukweli kuhusu fermists(virusi)

Ukweli kuhusu fermists(virusi)

Ndoa ni mume na mke lakini mwanamke anabeba 80% ya utimilivu wa familia. Mume hata awe wa hovyo lakini kama mwanamke kasimama familia itasonga, ushuhuda wengi mama ndio waliohangaika ikiwemo kupika hd pombe kujiuza Ili wao wasome baada ya baba kukimbia au kufariki.
Kila siku munapiga kelele wanaume ndiyo vichwa vya familia, leo wewe unasema wanawake ndiyo wanabeba asilimia 80 ya utimilivu wa familia.

Mbona munababaika sana? Munataka u head wa familia lakini majukumu hamuyataki, sasa wacha wanawake wajifanyie maamuzi
 
Nimesoma Sana kuhusu Feminism na gender Kama coz ya msimu mzima but bado haijawahi kunishawishi Kwamba mapigano ya usawa , uhuru wa mwanamke, ndoa na maamuzi Ni Jambo sahihi coz kikubwa feminism inajaribu kutufundisha kila Jambo kwa namna ya ukinzani dhidi ya waume.
 
Sijasoma yote ila kupitia ndoa ya zuhra yunusi nimeamini wanawake wengi wanatamani ndoa sema ndio hivyo wanajifanya sitaki nataka nasikia bibie yule enzi zake alikuwa anaringa sana leo jioni ameamua kuoa yeye maana pale huwezi kusema ameolewa
Kiburi tu tena cha kijinga..Wengi wametulia sasa kimya baada ya kuolewa .
 
Kumekua na sumu mbaya sana inayosambazwa na wanawake wapotoshaji wanaojiita "wapigania haki sawa" katika andiko langu nitawatambua kwa neno "virusi". Hawa virusi wamefanikiwa kuchota akili za wanawake wengi sana kitu kilichopelekea athari mbaya kwenye jamii zetu miaka ya hapa karibuni mfano ongezeko kubwa la talaka na ndoa kuvunjika, ongezeko la single mothers, ongezeko la matukio ya kikatili wanayofanyiana wanandoa n.k, hii ni kwa sababu hakuna mwanaume timamu atakaekubali kuwa chini ya mwanamke au kulingana mamlaka na mwanamke ndani ya nyumba sasa pale unapolazimisha kwenda tofauti na iyo kanuni ya asili ndipo matatizo kama hayo yanajitokeza. Nitafafanua aina 3 za virusi.

1. Ambao thamani yao imeshuka kwenye soko la mahusiano. Hawa ni wale virusi ambao umri umeshaenda wapo kwenye miaka 35-40+ . Katika umri walionao ni ngumu kumpata mwanaume wa kutulia nae na kufanya maisha (hakuna kidume atanunua gazeti jioni) kwaiyo kujipa moyo hawa virusi wanajifanya wapigania haki hili ionekane hana mwanaume kwa sababu hayumbishwi kimisimamo lakini ukweli ni kwamba anaishi na maumivu makali moyoni na hawawezi kurudisha miaka nyuma na kulekebisha pale walipokosea. Hakuna mwanamke asiependa kuwa na mwanaume wa kumfariji, kumwelezea namna siku yake ilivyoenda na kumpa ulinzi n.k

2. Walioachika. Hawa ni wale virusi ambao wameachika na wameshindwa ku-move on kwaiyo bado wanaishi na heartbreaking. Wanaingia kwenye movements za 50/50 kutokana na kushindwa kuondoa kile kinyongo moyoni na kutumia hizi harakati kama defensive mechanism ionekane mume au wanaume kwa ujumla ndo wenye matatizo. Ukiona status za mwanamke whatsapp au instagram zenye caption za i love myself, am ceo of my life, am superwoman, and the likes ujue ni yeye.

3. Wenye ulimbukeni wa mafanikio. Ukweli ni kwamba kiasili mwanamke hana stamina ya kuhimili nyakati zake za mafanikio kwa busara. Tangu mdogo mwanamke ameshakuzwa kwa mawazo kwamba atakapovunja ungo ataondoka nyumbani na kwenda kutunzwa na mumewe ikiwa yeye atatakiwa kumtii na kumuheshimu mumewe kama malipo ya matunzo anayoyapata sasa pale ambapo anapata mafanikio na kuweza kujitunza mwenyewe anapatwa na ulimbukeni wa kuona kwamba hakuna nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake ivyo haoni ulazima wa kumheshimu na kumtii mumewe maana kama ni matunzo yeye pia anao uwezo wa kujitunza.

Ukweli ni kwamba wanachokifanya hawa virusi sio kupigania haki sawa ila ni kupandikiza kiburi na jeuri kwa wanawake wenzao pamoja na kuchochea uadui wa kijinsia kitu ambacho kinapelekea migogoro katika familia na ndoa baada ya mahusiano ya wenzao kufa na kuwa wapweke kama wao basi hapo ndo hawa virusi wanapata relief ya moyo, waswahili wanasema "msiba wa wengi ni sherehe". Na kama unavyojua ukiyumbisha ngazi ya familia kwenye jamii basi umeyumbisha generation husika yote. Kwa usalama wa maadili ya vizazi vijavyo mamlaka husika zinapaswa kuwaangalia hawa virusi kwa jicho la tatu na kuwapiga breki au kuwapa msaada wa kisaikolojia.

Hawa virusi wanahitaji msaada wa kisaikolojia maana tatizo lao ni la kisaikolojia zaidi mbaya zaidi wao wenyewe hawajui kama wana matatizo na wanaona wanachokifanya ni sahihi maana mara nyingi matatizo ya kiakili muhusika huwa ajui kama ana matatizo mfano mgonjwa wa akili pale milembe hajijui kama ana matatizo ya akili.

Wosia kwa dada zangu ambao mpo 15-30+ nyie ndio kundi ambalo hawa virusi wanalilenga kwaiyo msikubali kuingia kwenye mtego wao. Hawa virusi wana tabia ya kujipost mitandaoni sehemu za starehe au wapo locations nzuri na caption za kuonesha kwamba wana furaha kuishi maisha ya uhuru ukweli ni kwamba wana-fake tu furaha kiuhalisia wanaishi na maumivu makali sana moyoni kwaiyo msipotoshwe na maisha yao ya kwenye mitandao na media nyie bado mna safari ndefu katika career na mahusiano yenu. Muheshimu, mpende na mtii mwanaume wako, jua nafasi yako kama mwanamke ndani ya nyumba na mwachie mwanaume wako nguvu ya utawala ndani ya nyumba. Elimu yako, mafanikio yako kiuchumi yasikupotoshe hata dunia ipinduke kamwe haiwezekani mwanamke na mwanaume wakawa na nguvu sawa vinginevyo mwanaume aamue tu kujishusha kwa sababu yupo na wewe kimasilahi kwa lugha ya kisasa wanaitwa mario.

Kaka zangu pia kwa andiko hili sijamaanisha kuwapa go ahead ya kuwafanyia undava wake zenu. Mpende mkeo, mjali, msikilize, timiza wajibu wako kama kichwa cha familia. Mdhibiti mkeo na binti yako kuangalia sana vipindi vyenye mahudhui kama ya wanawake live ya joyce kiria na tamthilia nyingi za kizungu na kifilipino mahudhui mengi ya vipindi kama hivi ni sumu kwenye ustawi wa ndoa na mahusiano katika jamii zetu za kiafrika na pale ambapo mkeo anapokengeuka jaribu kuwa mkali au kutumia nguvu kidogo ila usitumie violence.
Kuna haja ya serikali kuangalia namna ya kuwasajili hawa Virus! Ulimi nikiungo hatari kinachoweza kutoa laana, mauti , baraka na uzima! Sioni busara kuwa na vikundi au watu mmoja mmoja wanaotumia fursa ya ulimi kuharibu ndoa za watu ( alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe )
TV shows mruhusu watu wanaotoa nasaha njema kwa jamii, wapatanishi na sio wachonganishi au waharabifu wa familia za watu! Suluhu ni jambo jema kuliko kuhimiza neno USIKUBALI! Watoto wengi wanateseka mno huko mitaani, ukahaba unakuwa kwa kasi kisa ndoa kuvunjika, Ukimwi umepata nafasi maana hakuna tena hofu na watu wamejaa visasi, chumi nyingi zinaporomoka maana kidole kimoja hakivunji chawa!
Nashauri kuanzishwe kampaini ya PATANISHA JAMII
 
Kila siku munapiga kelele wanaume ndiyo vichwa vya familia, leo wewe unasema wanawake ndiyo wanabeba asilimia 80 ya utimilivu wa familia.

Mbona munababaika sana? Munataka u head wa familia lakini majukumu hamuyataki, sasa wacha wanawake wajifanyie maamuzi
Ujaelewa alichomaanisha yaani ni kama mfano wa mwenyekiti(mume) na katibu mkuu(mke).. katibu mkuu ndo mratibu wa shughuli zote za chama mwenyekiti anapewa feedback na kutoa maagizo tu pale linapotokea jambo ambalo katibu. mkuu kashindwa kulimudu
 
Back
Top Bottom